...π€π€π€...hao wanamgambo wamekamatwa wakati wa mapigano, ? au wamekamatwa mtaani tu? kwa nini wapelekwe msumbiji wakati wamefanya uhalifu tanzania? mmh
Popote palipo na rasimali mabeberu hutoa jicho,,tatizo ni gaseMozambique watafute sababu ya haya matukio na kuikomesha
Siasa na dini zisitumike kufanya uhalifu Afrika tutamalizana bure. Viongozi wa dini waambiwe ukweli ili wawahubiri wafuasi wao wasitumike
Tunaitaka afrika yenye amani
Popote palipo na rasimali mabeberu hutoa jicho,,tatizo ni gase
Halafu wanajitangaza kuuchukia ugaidi na vitu vinavyofanana na hivyo lakini wanautumia huohuo ugaidi kufanikisha mambo yao
SINA IMANI NA JESHI LA POLICE TANZANIA HATA KIDOGO.
Tanzania taifa la pekee sana Afrikandio maana hawatupendi,sababu huwa tunawaona kabla hawajatekeleza wanachokitaka.
Hizi dini zinaleta matatizo sana, Kila watu wabaki za dini zao, Waafrika wabaki na dini zao, waarabu pia na wazungu vilevile, kwani zinabeba tabia asili za waanzilishi wa hizo dini. Hasa Africa ikatae kabisa hizi dini za kiarabu na magharibi zinawafanya kuwa watumwa wa akili na pesa.