Wazanzibar wanataka kucheza UPATU na hiyo OIC.... wapewe uhuru huo, hiyo ni haki ya mke ndani ya ndoa -MUUNGANO. Bara hatuna haja kabisa ya kujiunga na OIC isipokuwa madai ya Zanzibar sasa hvi kutaka kujiunga na EAC kama nchi, hii inaleta kidogo Mushekeri....
Kuuvunja MUUNGANO yaani ndoa, huu utakuwa utaratibu mwingine kabisa nje ya OIC.... na kama kweli wamepania mimi naomba tu ifanyike referendum Zanzibar!... Tuwaache wananchi wenyewe waaamue baada ya kujua faida na hasara za kuvunja muungano. Nina hakika ya asilimia zaidi ya 50 watasema - HAPANA!...