hujajibu swali...
Yule dada aliyeigiza lost twins .kanumba alikuwa dereva..i think kale kadada ndo karembo zaid
Weweeeee nenda kaleeew watoto huko, usisumbuke na mimi, au huna cha kufanya, we ni mzeee jikubali
kazi kweli na hizi mulugo umeulizwa swali jibu...sio unaanza personal attack ungesema hao sio wazuri sio wana watoto pyeeeee mamako kukuzaa wewe kawa mbaya???
Hayo yooote yanakutoka kwa kuambiwa umezeeeka?!!! basi we ni mtoto wa miezi mitatu. Km inamsaaada, maaan watu kujikubali hamtaki
Kuna watu wakisema warudi kwenye tasnia ya filamu.....asilimia kubwa ya wadada wa bongo movies tunawaset aside!
Hivi unamkumbuka Lucy Peter wa kwenye The Lost Twins???? Veeeeeery beautiful!
Sijui siku hizi yuko wapi huyo binti
kumlia kaka ako pesa ndo umalaya?
Katika game ya bongo movie wapo wanawake wengi sana waliojaaliwa uzuri wa sura na maumbo kupitia maoni ya watu kadhaa nimepata list fupi ya wadada watano ambao ni warembo na wenye mvuto zaidi nao ni 1.WELU SENGO,2.YOBNESH YUSUPH(BATULI),3.WEMA SEPETU,4.LULU MICHAEL,5.IRENE UWOYA,orodha hii ni kwa maoni ya watu niliozungumza nao na mimi mwenyewe toa maoni yako.
Mrembo wa ukweli lazima awe P.H.A.T
¤Mademu wetu wa kibongo movie shape hawana kabisa,mitambi hiyo kama wana mimba za mapacha,kazi kushinda bar kula kitimoto,michemsho,beer,nyama choma,chips yai,hawana mda wa kwenda gym kuweka tumbo flat.
¤Mademu wetu wa bongo Maziwa kama wanatenda jeshini,maziwa mwajuma ndala ndefu anakaa,bila bra triple D hawawezi kutoka,miziwa utafikiri wanajianda kujiunga mashauzi classic.
¤Mademu wetu wa bongo movie mikorogo na michirizi utafikiri ngozi ya kenge,mvuto F,mwilini silicon tupu kutafuta neema za allah na maaga.
Mademu warembo wapo state,ebu mchecki christina Millian kwenye movie ya Love dont cost a thing,ebu mcheck monica arnold,ebu mcheck meagan good,ebu mcheck yule demu aliyekuwa na fabolous amevaa jezi ya blue akiwa na viatu vya matairi trade it all video hao ndio warembo,sio hao mabibi bomba...Lulu ana miaka 19 lakini akikaa na meagan good lulu anaonekana mzee.
Wellu Sengo mzuri kwa sura na shepu, ila ni malaya saaaaaana.
Kamlia sana kaka angu pesa zake za urithi.
Alivyoona zimeisha akamkimbia
Uandae na ARV's kabisa.Daaaaa batuli liko vizuri japo lina watoto. .mkuu samahan ebu tupia namba zake hapo nimchek hewan
i know the girl,
ni lucky peter
she is cute na anaweza then alianza na mr tues kwenye jumba la dhahabu yule alikua anaitwa mikala
i know the girl,
ni lucky peter
she is cute na anaweza then alianza na mr tues kwenye jumba la dhahabu yule alikua anaitwa mikala
Halafu sijui yuko wapi siku izi,alikuwa anajisikia huyo, aliwahi kuitwa na joyce kiria kipindi kile anatangaza movie demu akakataa kufanyiwa enterview, she is cute kind of lulu type, kalikuwa kanaishi mikocheni, ni ka kishua ila sina uhakika kama yupo bongo sasa ivi
Naam umenipata vyema.
Mikala......mashaallah binti kajaaliwa! Hivi yupo wapi siku hizi?
sana anajidai huyu dada hadi alikua anaboreHalafu sijui yuko wapi siku izi,alikuwa anajisikia huyo, aliwahi kuitwa na joyce kiria kipindi kile anatangaza movie demu akakataa kufanyiwa enterview, she is cute kind of lulu type, kalikuwa kanaishi mikocheni, ni ka kishua ila sina uhakika kama yupo bongo sasa ivi
Katika game ya bongo movie wapo wanawake wengi sana waliojaaliwa uzuri wa sura na maumbo kupitia maoni ya watu kadhaa nimepata list fupi ya wadada watano ambao ni warembo na wenye mvuto zaidi nao ni 1.WELU SENGO,2.YOBNESH YUSUPH(BATULI),3.WEMA SEPETU,4.LULU MICHAEL,5.IRENE UWOYA,orodha hii ni kwa maoni ya watu niliozungumza nao na mimi mwenyewe toa maoni yako.