Wasichana 5 bora wanaoongoza kwa uzuri Bongo Movie

Wasichana 5 bora wanaoongoza kwa uzuri Bongo Movie

Weweeeee nenda kaleeew watoto huko, usisumbuke na mimi, au huna cha kufanya, we ni mzeee jikubali

kazi kweli na hizi mulugo umeulizwa swali jibu...sio unaanza personal attack ungesema hao sio wazuri sio wana watoto pyeeeee mamako kukuzaa wewe kawa mbaya???
 
kazi kweli na hizi mulugo umeulizwa swali jibu...sio unaanza personal attack ungesema hao sio wazuri sio wana watoto pyeeeee mamako kukuzaa wewe kawa mbaya???

Hayo yooote yanakutoka kwa kuambiwa umezeeeka?!!! basi we ni mtoto wa miezi mitatu. Km inamsaaada, maaan watu kujikubali hamtaki
 
Wekeni picha coz wengine hatuwajui kama wema namuona kwenye magazeti na lulu pia,sijawai ona vizur coz siangaliangi bongo movie coz zipo kama maigizo vile mi na penda za mbele sana
Sasa naomba mniwekee picha na mm nichangie nione watoto wakibongo jaman plz
 
Kuna watu wakisema warudi kwenye tasnia ya filamu.....asilimia kubwa ya wadada wa bongo movies tunawaset aside!
Hivi unamkumbuka Lucy Peter wa kwenye The Lost Twins???? Veeeeeery beautiful!
Sijui siku hizi yuko wapi huyo binti

i know the girl,
ni lucky peter
she is cute na anaweza then alianza na mr tues kwenye jumba la dhahabu yule alikua anaitwa mikala
 
Katika game ya bongo movie wapo wanawake wengi sana waliojaaliwa uzuri wa sura na maumbo kupitia maoni ya watu kadhaa nimepata list fupi ya wadada watano ambao ni warembo na wenye mvuto zaidi nao ni 1.WELU SENGO,2.YOBNESH YUSUPH(BATULI),3.WEMA SEPETU,4.LULU MICHAEL,5.IRENE UWOYA,orodha hii ni kwa maoni ya watu niliozungumza nao na mimi mwenyewe toa maoni yako.

Nitakuja baadaye na list yangu.
 
Mrembo wa ukweli lazima awe P.H.A.T
¤Mademu wetu wa kibongo movie shape hawana kabisa,mitambi hiyo kama wana mimba za mapacha,kazi kushinda bar kula kitimoto,michemsho,beer,nyama choma,chips yai,hawana mda wa kwenda gym kuweka tumbo flat.

¤Mademu wetu wa bongo Maziwa kama wanatenda jeshini,maziwa mwajuma ndala ndefu anakaa,bila bra triple D hawawezi kutoka,miziwa utafikiri wanajianda kujiunga mashauzi classic.

¤Mademu wetu wa bongo movie mikorogo na michirizi utafikiri ngozi ya kenge,mvuto F,mwilini silicon tupu kutafuta neema za allah na maaga.

Mademu warembo wapo state,ebu mchecki christina Millian kwenye movie ya Love dont cost a thing,ebu mcheck monica arnold,ebu mcheck meagan good,ebu mcheck yule demu aliyekuwa na fabolous amevaa jezi ya blue akiwa na viatu vya matairi trade it all video hao ndio warembo,sio hao mabibi bomba...Lulu ana miaka 19 lakini akikaa na meagan good lulu anaonekana mzee.

Tusipende kutukuza vya magharibi tuwaze kibongobongo!
 
i know the girl,
ni lucky peter
she is cute na anaweza then alianza na mr tues kwenye jumba la dhahabu yule alikua anaitwa mikala

Halafu sijui yuko wapi siku izi,alikuwa anajisikia huyo, aliwahi kuitwa na joyce kiria kipindi kile anatangaza movie demu akakataa kufanyiwa enterview, she is cute kind of lulu type, kalikuwa kanaishi mikocheni, ni ka kishua ila sina uhakika kama yupo bongo sasa ivi
 
Hata wewe binamu yetu hujui alipo?
Sasa tutapata wapi info! Lol

Labda tujaribu kwa Heaven on Earth
 
Last edited by a moderator:
Halafu sijui yuko wapi siku izi,alikuwa anajisikia huyo, aliwahi kuitwa na joyce kiria kipindi kile anatangaza movie demu akakataa kufanyiwa enterview, she is cute kind of lulu type, kalikuwa kanaishi mikocheni, ni ka kishua ila sina uhakika kama yupo bongo sasa ivi
sana anajidai huyu dada hadi alikua anabore
 
Katika game ya bongo movie wapo wanawake wengi sana waliojaaliwa uzuri wa sura na maumbo kupitia maoni ya watu kadhaa nimepata list fupi ya wadada watano ambao ni warembo na wenye mvuto zaidi nao ni 1.WELU SENGO,2.YOBNESH YUSUPH(BATULI),3.WEMA SEPETU,4.LULU MICHAEL,5.IRENE UWOYA,orodha hii ni kwa maoni ya watu niliozungumza nao na mimi mwenyewe toa maoni yako.

Hapo mzuri ni wellu sengo tu peke yake hizo zingine ni used 1426580099983.jpg
 
Back
Top Bottom