Wasichana 5 bora wanaoongoza kwa uzuri Bongo Movie

Wasichana 5 bora wanaoongoza kwa uzuri Bongo Movie

Batuli ni jimama na lina watoto, lrene kadhalika, waondoe hapo hawana chance.

Daaaaa batuli liko vizuri japo lina watoto. .mkuu samahan ebu tupia namba zake hapo nimchek hewan
 
Yule dada aliyeigiza lost twins .kanumba alikuwa dereva..i think kale kadada ndo karembo zaid
 
Kama hao mabibi bomba ndio warembo bongo movie basi tasnia ya sinema hakuna warembo....
 
Hapo mtoe kabisa Lulu na wema, hao wengine naam.
 
Mrembo wa ukweli lazima awe P.H.A.T
¤Mademu wetu wa kibongo movie shape hawana kabisa,mitambi hiyo kama wana mimba za mapacha,kazi kushinda bar kula kitimoto,michemsho,beer,nyama choma,chips yai,hawana mda wa kwenda gym kuweka tumbo flat.

¤Mademu wetu wa bongo Maziwa kama wanatenda jeshini,maziwa mwajuma ndala ndefu anakaa,bila bra triple D hawawezi kutoka,miziwa utafikiri wanajianda kujiunga mashauzi classic.

¤Mademu wetu wa bongo movie mikorogo na michirizi utafikiri ngozi ya kenge,mvuto F,mwilini silicon tupu kutafuta neema za allah na maaga.

Mademu warembo wapo state,ebu mchecki christina Millian kwenye movie ya Love dont cost a thing,ebu mcheck monica arnold,ebu mcheck meagan good,ebu mcheck yule demu aliyekuwa na fabolous amevaa jezi ya blue akiwa na viatu vya matairi trade it all video hao ndio warembo,sio hao mabibi bomba...Lulu ana miaka 19 lakini akikaa na meagan good lulu anaonekana mzee.
 
Mkuu King Kong III samahani,hivi ile michirizi kwa madem sanasana tumboni huwa inasababishwa na nini?
 
Last edited by a moderator:
kabisa anafata uwoya,welu na zamda salim

Kuna watu wakisema warudi kwenye tasnia ya filamu.....asilimia kubwa ya wadada wa bongo movies tunawaset aside!
Hivi unamkumbuka Lucy Peter wa kwenye The Lost Twins???? Veeeeeery beautiful!
Sijui siku hizi yuko wapi huyo binti
 
Mmhh kama ni hivyo basi hii bongo movie haina warembo. Pia madem wao sijui kwa nn wanakuwaga sio wanyamwezi.

Alafu hichi kiLulu sijawai kukiona uzuri wake kukipaisha tu mcharo mcharo mtu mfupi toka lini akawa mrembo.

Kula like moja kali mkuu..
 
Bongo movie tupa kulee,warembo ma scandal.Mimi namzimia Irene Kiwia mrembo wa ukweli.

xx huyo irene kiwia hana scandal o hujatak kumfatilia,yule cheche hatar tokea zama hizo mkwawa high school walikuwa wanamwita kwasu( nyama ngumu iliyoshindikan)
 
Back
Top Bottom