Wasichana 5 bora wanaoongoza kwa uzuri Bongo Movie

Wasichana 5 bora wanaoongoza kwa uzuri Bongo Movie

Katika game ya bongo movie wapo wanawake wengi sana waliojaaliwa uzuri wa sura na maumbo kupitia maoni ya watu kadhaa nimepata list fupi ya wadada watano ambao ni warembo na wenye mvuto zaidi nao ni 1.WELU SENGO,2.YOBNESH YUSUPH(BATULI),3.WEMA SEPETU,4.LULU MICHAEL,5.IRENE UWOYA,orodha hii ni kwa maoni ya watu niliozungumza nao na mimi mwenyewe toa maoni yako.



Wema ana bahati ya kupendwa ila si mzuri kihivyo....usidanganyike na umiss Tanzania wake.....ule alipewa tu kwa heshima ya baba yake. Fananisha kati ya hao uliowataja na Wema nani ni mzuri zaidi?
 
Hanna kitu apo,utafiti kama ndio huu,wamekuonga/umekula rushwa.
 
Back
Top Bottom