Wasichana bana!

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,153
Reaction score
2,647
Ukimtongoza tu mdada na urafiki ukijengeka tu baada a muda atakachofanya atataka kufika kwako unakokaa wewe (mwanaume), hapo kwa mwanaume anatafuta nini?
 
We unatakaje?!Kama hutaki hayo nwambie huna mpango wa kujenga makazi kwake maana upo safarini (kiguu na njia kwenye mapenzi) na sio unamdanganya unampenda alafu akitaka kufika kwa ampendae unaanza kulalamika kama ndo kwanza umevunja mwiko jana!
 
uwiii

sasa tabu ni nini umesema urafiki umejengeka eeehh sasa si ni ndoa inafuata au wewe unapitia tu hutaki majukumu kwa sasa?

basi mwambie mpangilio unaotaka wewe? pia ukielezea vizuri mazingira ya kutaka kufikia kwako anatokea wapi etc itasaidia sie kukueleza
 
We unatakaje?!Kama hutaki hayo nwambie huna mpango wa kujenga makazi kwake maana upo safarini (kiguu na njia kwenye mapenzi) na sio unamdanganya unampenda alafu akitaka kufika kwa ampendae unaanza kulalamika kama ndo kwanza umevunja mwiko jana!
Umemwelewa vibaya si kila mwanamke unayemtongaza na akakubali unampeleka unapoishi! Kumpeleka unapo ishi ni hatua kubwa sana ktk mahusiano mama!
 
Unless unaishi KWENU SI KWAKO.......
Ila si jambo jema kumuwahisha kwako,japo mwanamke anaona anaheshmika ukimpeleka kwako o KWENU
 
Kheee! Aluuu! Sasa hapo mnaenda kutafuta nini kwa mwanaumeee? au mnaenda kuchunguza ana sufuria ngapi? au mnaenda kuchunguza kama kuna sidiria? au mnaenda kuchunguza status ya mwanaume?
 
We unatakaje?!Kama hutaki hayo nwambie huna mpango wa kujenga makazi kwake maana upo safarini (kiguu na njia kwenye mapenzi) na sio unamdanganya unampenda alafu akitaka kufika kwa ampendae unaanza kulalamika kama ndo kwanza umevunja mwiko jana!
Kwahiyo kufika kwa mwanaume ni dawa ya kumpima siyo?
 
.....kuna ubaya gani hata rafiki tu kukutembelea???mi nadhani wanaofanya hivyo wako sahihi,je kama anayemtongoza ni jini,au keshaoa zamani akubali tu bila kuchunguza.................................wadada wako sahihi
 
Mi sijui...sijawahi kutaka kwenda kwa watu bila kukaribishwa!!
Kumbe we mzungu! Uafrika umeutoa zamani? Kiukweli kuna wadada wanatafuta something kwa mwanaume nyumbani kwake!
 
pamoja na kuwa senior expert member nadhani hii thread kama mods au wana JF wangekuwa wanapunguza maksi nadhani ingekufanya upunguziwe kidogo....crap
 
Kumbe we mzungu! Uafrika umeutoa zamani? Kiukweli kuna wadada wanatafuta something kwa mwanaume nyumbani kwake!
Sidhani kama kuna uzungu wowote...nnachojua ni kwamba ni raha zaidi mtu akikukaribisha mwenyewe badala ya mimi kulazimisha.
 
pamoja na kuwa senior expert member nadhani hii thread kama mods au wana JF wangekuwa wanapunguza maksi nadhani ingekufanya upunguziwe kidogo....crap
Tunazungumzia mambo ambayo yanatokea mitaani! si ya kutunga! Pole!
 
Sidhani kama kuna uzungu wowote...nnachojua ni kwamba ni raha zaidi mtu akikukaribisha mwenyewe badala ya mimi kulazimisha.
Hapo sawa, sasa kuna wengine wanaweka mtego wa kufika kwa mwanaume kama njia ya kumsoma status ya mwanaume!
 
Hapo sawa, sasa kuna wengine wanaweka mtego wa kufika kwa mwanaume kama njia ya kumsoma status ya mwanaume!
Hhhah...wanataka kujua ili waanze kuwaringishia wenzao sio?!Au labda wajue kama wawe seroius iwapo kwako kunaishika au watafute wapembeni kwa malazi na malezi!
 
wengi wanataka kujua kama unavitu gani,yani hata kama ukiwa naye ajue atatambaje kwa mashoga zake{besti}

Kama anataka kupajua kwako inategemeana pia ulimdanganyaje?mana utaweza mdanganya mambo mengi atake kwenda kuyaona napo akute ndivyo sivyo labda ndo mana yawa tatizo.

Vilevile itaweza kua kaja kupaona kwa mema tu ilimsije potezana katika cm na nyumbani asipajue iwe hasara mara mbili.

Note;nyumbani ni nyumbani Hata kama kichakani.
 
Mtoa mada anaonesha ni kijogoo na hataki anaowadanganya wakutane ghafla. Wacheni kuchezea wasichana, oaneni mstirike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…