Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Ukimtongoza tu mdada na urafiki ukijengeka tu baada a muda atakachofanya atataka kufika kwako unakokaa wewe (mwanaume), hapo kwa mwanaume anatafuta nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemwelewa vibaya si kila mwanamke unayemtongaza na akakubali unampeleka unapoishi! Kumpeleka unapo ishi ni hatua kubwa sana ktk mahusiano mama!We unatakaje?!Kama hutaki hayo nwambie huna mpango wa kujenga makazi kwake maana upo safarini (kiguu na njia kwenye mapenzi) na sio unamdanganya unampenda alafu akitaka kufika kwa ampendae unaanza kulalamika kama ndo kwanza umevunja mwiko jana!
Kwahiyo kufika kwa mwanaume ni dawa ya kumpima siyo?We unatakaje?!Kama hutaki hayo nwambie huna mpango wa kujenga makazi kwake maana upo safarini (kiguu na njia kwenye mapenzi) na sio unamdanganya unampenda alafu akitaka kufika kwa ampendae unaanza kulalamika kama ndo kwanza umevunja mwiko jana!
Mimama? khaa!hehhe dawa ni kutongoza mimama uwe unaenda kwake
Mi sijui...sijawahi kutaka kwenda kwa watu bila kukaribishwa!!Kwahiyo kufika kwa mwanaume ni dawa ya kumpima siyo?
Kumbe we mzungu! Uafrika umeutoa zamani? Kiukweli kuna wadada wanatafuta something kwa mwanaume nyumbani kwake!Mi sijui...sijawahi kutaka kwenda kwa watu bila kukaribishwa!!
Sidhani kama kuna uzungu wowote...nnachojua ni kwamba ni raha zaidi mtu akikukaribisha mwenyewe badala ya mimi kulazimisha.Kumbe we mzungu! Uafrika umeutoa zamani? Kiukweli kuna wadada wanatafuta something kwa mwanaume nyumbani kwake!
Tunazungumzia mambo ambayo yanatokea mitaani! si ya kutunga! Pole!pamoja na kuwa senior expert member nadhani hii thread kama mods au wana JF wangekuwa wanapunguza maksi nadhani ingekufanya upunguziwe kidogo....crap
Hapo sawa, sasa kuna wengine wanaweka mtego wa kufika kwa mwanaume kama njia ya kumsoma status ya mwanaume!Sidhani kama kuna uzungu wowote...nnachojua ni kwamba ni raha zaidi mtu akikukaribisha mwenyewe badala ya mimi kulazimisha.
Hhhah...wanataka kujua ili waanze kuwaringishia wenzao sio?!Au labda wajue kama wawe seroius iwapo kwako kunaishika au watafute wapembeni kwa malazi na malezi!Hapo sawa, sasa kuna wengine wanaweka mtego wa kufika kwa mwanaume kama njia ya kumsoma status ya mwanaume!