Aisha Adam
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 460
- 104
Acha mambo wewe unafikiri mkiwa marafiki mkutane club labda kama nyie ni wahuni lakini marafiki tena umesema urafiki umejengeka lazima ajue kwako na siyo kwa walio oa hata kama umeoa tayari unaweza kuwa na rafiki ukamkaribisha nyumbani na mkatambulishana kwa mke ila siyo kwa mume patachimbika!sisi wanaume huwa kamwe hatuamini kama mwanamke anawezakuwa na rafiki wa kike na urafiki ukajengeka hivihivi!!NeverUkimtongoza tu mdada na urafiki ukijengeka tu baada a muda atakachofanya atataka kufika kwako unakokaa wewe (mwanaume), hapo kwa mwanaume anatafuta nini?
Ukimtongoza tu mdada na urafiki ukijengeka tu baada a muda atakachofanya atataka kufika kwako unakokaa wewe (mwanaume), hapo kwa mwanaume anatafuta nini?
Ukimtongoza tu mdada na urafiki ukijengeka tu baada a muda atakachofanya atataka kufika kwako unakokaa wewe (mwanaume), hapo kwa mwanaume anatafuta nini?
hahaha...hii option inamfaa sana mydearhehhe dawa ni kutongoza mimama uwe unaenda kwake
Tatizo lenu siku hizi Papa Mopao mnatongoza kwanza then urafiki unafuata, inatakiwa mjenge urafiki kwanza kabla ya kutongoza mwe!!Ukimtongoza tu mdada na urafiki ukijengeka tu baada a muda atakachofanya atataka kufika kwako unakokaa wewe (mwanaume), hapo kwa mwanaume anatafuta nini?
Hiyo ya kudanganya kwamba upo juu kuliko inawezekana ni sababu ya madada kujua khs mtu, hao ndo wana akili kumkamata na kama ni mkweli au mwongo, big up dadaz,nimepata mpya kwako mkuu shukrani sana!wengi wanataka kujua kama unavitu gani,yani hata kama ukiwa naye ajue atatambaje kwa mashoga zake{besti}Kama anataka kupajua kwako inategemeana pia ulimdanganyaje?mana utaweza mdanganya mambo mengi atake kwenda kuyaona napo akute ndivyo sivyo labda ndo mana yawa tatizo.Vilevile itaweza kua kaja kupaona kwa mema tu ilimsije potezana katika cm na nyumbani asipajue iwe hasara mara mbili.Note;nyumbani ni nyumbani Hata kama kichakani.
Hiyo ya vocha wako wengi sana! anakwambia kabisa "naomba buku nikanunue soda" ukimjibu huna anakudharau, hapo anakupa status mbili ubahili au choka mbaya na anakupiga chini.Mie ninachojua wanawake ukiwatongoza, kinachofuata ni kuombwa vocha
Wengine wana nia nzuri tu ya kupajua kwako, wengine wanatafuta una nini kwako kama walivyochangia wachangiaji wengine waliotangulia.Acha mambo wewe unafikiri mkiwa marafiki mkutane club labda kama nyie ni wahuni lakini marafiki tena umesema urafiki umejengeka lazima ajue kwako na siyo kwa walio oa hata kama umeoa tayari unaweza kuwa na rafiki ukamkaribisha nyumbani na mkatambulishana kwa mke ila siyo kwa mume patachimbika!sisi wanaume huwa kamwe hatuamini kama mwanamke anawezakuwa na rafiki wa kike na urafiki ukajengeka hivihivi!!Never
Kuna wengine wakija kwa mdume wakiona hapaeleweki wanakata mawasiliano hata kama binadamu mdume yuko single, wa aina hiyo ndo wanatafuta status kwa jinsi navyoelewa mimi.Mtoa mada kwa upande wako unapendaje? Aje kwako au mkutane barabarani?Nafikiri si kitendo kizuri kila siku ya mungu kuongela bar, guest au sometimes kituo cha dala dala au kwenye gari. Kupaona kwako si vibaya unaaweza kufa ghafla au ukaumwa ina maana asije kwenye msiba wako au kuja kukusalimu kama ni mgonjwa. Mnatuchukulia ndivyo sivyo.
Vizuri sana, nimepata mpya toka kwako, nashukuru sana hiyo Ilmu kubwa, wafundisheni vijana wa dot com khs hilo MwanajamiiOne!Tatizo lenu siku hizi Papa Mopao mnatongoza kwanza then urafiki unafuata, inatakiwa mjenge urafiki kwanza kabla ya kutongoza mwe!!
Kweli kabisa umenena Mchungaji!hakifanya hivyo it means she wants to gt more crias wit da relationship, she wants to know da way u live
Hahahahahaa! Nilitaka nikuite mama Mchungaji, utafikiri unakemea mapepo hapo.Ni kweli kupafahamu ni nzuri ila kuna wengine lengo lao si huko unakozungumza, wengine wanatafuta kitu cha kuwaringishia kama walivyochangia waliotangulia mkuu!Mmmh, kwa hiyo we unapenda kukutana huko barabarani tu, dah ni rafiki yako tena unasema mmeshakuwa marafiki lakini kwako hutaki afike, we vipi bana mzee. Kwa hiyo hata ukiumwa hatakiwi kuja kukuona? Mmm au we unawachezea tu dada za watu? Acha uhuni kijana.
Mimama? khaa!