Wasichana bana!

Wasichana bana!

kwan akikujua kwako kuna shida gani?
ukimwona mume ana fikira kama hizo jua ameoa au anaowengi aliwaonyesha kwake hataki mgongane.
 
Ukimtongoza tu mdada na urafiki ukijengeka tu baada a muda atakachofanya atataka kufika kwako unakokaa wewe (mwanaume), hapo kwa mwanaume anatafuta nini?
Acha mambo wewe unafikiri mkiwa marafiki mkutane club labda kama nyie ni wahuni lakini marafiki tena umesema urafiki umejengeka lazima ajue kwako na siyo kwa walio oa hata kama umeoa tayari unaweza kuwa na rafiki ukamkaribisha nyumbani na mkatambulishana kwa mke ila siyo kwa mume patachimbika!sisi wanaume huwa kamwe hatuamini kama mwanamke anawezakuwa na rafiki wa kike na urafiki ukajengeka hivihivi!!Never
 
Mtoa mada kwa upande wako unapendaje? Aje kwako au mkutane barabarani?

Nafikiri si kitendo kizuri kila siku ya mungu kuongela bar, guest au sometimes kituo cha dala dala au kwenye gari. Kupaona kwako si vibaya unaaweza kufa ghafla au ukaumwa ina maana asije kwenye msiba wako au kuja kukusalimu kama ni mgonjwa.

Mnatuchukulia ndivyo sivyo.
 
Ukimtongoza tu mdada na urafiki ukijengeka tu baada a muda atakachofanya atataka kufika kwako unakokaa wewe (mwanaume), hapo kwa mwanaume anatafuta nini?

Kama unayonia nzuri huto tongoza ovyo kwani yeyote utayekuwa tayari kuwa rafikiyako pia utakuwa tayari kumweka wazi..otherwise, kama unataka kuosha ndude yako nenda kaokote changudoa ambao hata ukiwalazimisha kuwaleta nyumbani kwako watakuibia na kukuachia zawadi ya magonjwa.
 
Acha akupendae ajue unapoishi, wewe vip bana? kumbuka unamjengea thamani zaidi, kumbuka kuna kuugua au tatizo lingine so utatoka ukasalimiane nae bar?
Hata kama kwako, ni pa hali ya chini kazi ni kwako! au ulishajipaisha kuwa unaishi kama ikulu na unaona ukitembelewa utaumbuka...teh teh teh
 
sasa wewe papa mopao,ulimtongoza ili nini,na kwa nini?

Ukimtongoza tu mdada na urafiki ukijengeka tu baada a muda atakachofanya atataka kufika kwako unakokaa wewe (mwanaume), hapo kwa mwanaume anatafuta nini?
 
Ukimtongoza tu mdada na urafiki ukijengeka tu baada a muda atakachofanya atataka kufika kwako unakokaa wewe (mwanaume), hapo kwa mwanaume anatafuta nini?
Tatizo lenu siku hizi Papa Mopao mnatongoza kwanza then urafiki unafuata, inatakiwa mjenge urafiki kwanza kabla ya kutongoza mwe!!
 
hakifanya hivyo it means she wants to gt more crias wit da relationship, she wants to know da way u live
 
Akitaka kufahamu unakoishi kama unampenda mpele tu sio ishu,lakini inahitaji time kidogo
 
wengi wanataka kujua kama unavitu gani,yani hata kama ukiwa naye ajue atatambaje kwa mashoga zake{besti}Kama anataka kupajua kwako inategemeana pia ulimdanganyaje?mana utaweza mdanganya mambo mengi atake kwenda kuyaona napo akute ndivyo sivyo labda ndo mana yawa tatizo.Vilevile itaweza kua kaja kupaona kwa mema tu ilimsije potezana katika cm na nyumbani asipajue iwe hasara mara mbili.Note;nyumbani ni nyumbani Hata kama kichakani.
Hiyo ya kudanganya kwamba upo juu kuliko inawezekana ni sababu ya madada kujua khs mtu, hao ndo wana akili kumkamata na kama ni mkweli au mwongo, big up dadaz,nimepata mpya kwako mkuu shukrani sana!
 
Mie ninachojua wanawake ukiwatongoza, kinachofuata ni kuombwa vocha
Hiyo ya vocha wako wengi sana! anakwambia kabisa "naomba buku nikanunue soda" ukimjibu huna anakudharau, hapo anakupa status mbili ubahili au choka mbaya na anakupiga chini.
 
Acha mambo wewe unafikiri mkiwa marafiki mkutane club labda kama nyie ni wahuni lakini marafiki tena umesema urafiki umejengeka lazima ajue kwako na siyo kwa walio oa hata kama umeoa tayari unaweza kuwa na rafiki ukamkaribisha nyumbani na mkatambulishana kwa mke ila siyo kwa mume patachimbika!sisi wanaume huwa kamwe hatuamini kama mwanamke anawezakuwa na rafiki wa kike na urafiki ukajengeka hivihivi!!Never
Wengine wana nia nzuri tu ya kupajua kwako, wengine wanatafuta una nini kwako kama walivyochangia wachangiaji wengine waliotangulia.
 
Mtoa mada kwa upande wako unapendaje? Aje kwako au mkutane barabarani?Nafikiri si kitendo kizuri kila siku ya mungu kuongela bar, guest au sometimes kituo cha dala dala au kwenye gari. Kupaona kwako si vibaya unaaweza kufa ghafla au ukaumwa ina maana asije kwenye msiba wako au kuja kukusalimu kama ni mgonjwa. Mnatuchukulia ndivyo sivyo.
Kuna wengine wakija kwa mdume wakiona hapaeleweki wanakata mawasiliano hata kama binadamu mdume yuko single, wa aina hiyo ndo wanatafuta status kwa jinsi navyoelewa mimi.
 
Tatizo lenu siku hizi Papa Mopao mnatongoza kwanza then urafiki unafuata, inatakiwa mjenge urafiki kwanza kabla ya kutongoza mwe!!
Vizuri sana, nimepata mpya toka kwako, nashukuru sana hiyo Ilmu kubwa, wafundisheni vijana wa dot com khs hilo MwanajamiiOne!
 
Mmmh, kwa hiyo we unapenda kukutana huko barabarani tu, dah ni rafiki yako tena unasema mmeshakuwa marafiki lakini kwako hutaki afike, we vipi bana mzee. Kwa hiyo hata ukiumwa hatakiwi kuja kukuona? Mmm au we unawachezea tu dada za watu? Acha uhuni kijana.
 
Hahahahahaa! Nilitaka nikuite mama Mchungaji, utafikiri unakemea mapepo hapo.Ni kweli kupafahamu ni nzuri ila kuna wengine lengo lao si huko unakozungumza, wengine wanatafuta kitu cha kuwaringishia kama walivyochangia waliotangulia mkuu!
 
Back
Top Bottom