Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaan mtoa mada uko sahihi, ila kwa kipindi hiki cha vijana wa sasa wanawake wengi wakikuchagua uje kuna mambo kadhaa:-Habari za Eid pili wandugu
Kama kawaida yangu ninapitulia ndipo jambo hunijia kama hivi halafu natafuta pakukitolea.
Nimekumbuka tu mbali kidogo miaka hiyo ya ubarubaru. Kipindi ambacho kwa bahati mbaya vijana wa kiume hukitumia ndivyo sivyo, pengine ni kwa kukosa misingi thabiti toka kwa jamii inayowazunguka.
Miaka ya 27 hadi 32 kwa vijana wa kike na wa kiume. Katika umri huu ni vijana wa kike ndio aghalabu huwa na focus ya maisha. Pengine huwa wamepevuka zaidi kuliko wa kiume.
Ni kipindi hiki ambapo vijana wa kike (wasichana) huchagua wanaume wa ndoto zao kwa maana ya kujenga maisha na familia. Huwa haitokei bahati mbaya ila wao kwa muda wao hufanya chunguzi zao na muda ukifika wewe kijana wa kiume uliyetunukiwa chaguo hilo utaona baadhi ya dalili na ishara.
Hapa naomba niweke bayana. Naongelea zaidi vijana wale ambao 'umande' kwao ulikuwa rafiki. Wale wengine hata miaka 18, 22 poa tu.
Dalili na ishara hizi hawa wanaume huziona bayana, tatizo linakuja, aidha hajamalizana na viruka njia au anaona huyo binti sio sahihi kwake. Tatizo la tatu huwa ni kipato. Hili la kipato likae pending kwanza.
Nasema haya kwa kuwa nimepita huko. Kama kuna makosa vijana wa kiume hufanya, ni kipindi hiki. Mwanamke aliyekuchagua kati ya wengi ndiye alipaswa kuwa mke wako. Bahati mbaya huwa tunawapuuzia na kwenda kuwatafuta wale wa vigezo vyetu.
Nawaasa vijana wa kiume. Mwanamke anayekuchagua kati ya wengi huyo mpe nafasi
Wengine tunaonekana wa motoni kumbe ni wema sana na akili nyingi sana sema financial ndo hatuko sawa...Changamoto saNa,
sema mi naona wanajifanyia mazingaombwe (ILLusION) wenyewe.
Ni kwamba,
Wanaume wanaoenda kuwatafuta uko makinisani,
Ndo hao hao wanaume walionao uko mitaani, wanaowasimamisha kuwaomba namba wanawalingia na kuwakataa.
Sema tu Uko makanisani,
wanatafuta justification tu za kiroho kwa kuzidanganya nafsi zao kua hao Ni wanaume bora waliotoka kwa bwana.
Ni heri akatae toa nambaChangamoto saNa,
sema mi naona wanajifanyia mazingaombwe (ILLusION) wenyewe.
Ni kwamba,
Wanaume wanaoenda kuwatafuta uko makinisani,
Ndo hao hao wanaume walionao uko mitaani, wanaowasimamisha kuwaomba namba wanawalingia na kuwakataa.
Sema tu Uko makanisani,
wanatafuta justification tu za kiroho kwa kuzidanganya nafsi zao kua hao Ni wanaume bora waliotoka kwa bwana.
Wengine tunaonekana wa motoni kumbe ni wema sana na akili nyingi sana sema financial ndo hatuko sawa...
Ila yote maisha wacha watudharau hakuna haja ya kusujudiana
Sasa inashindikana nini kugeuza hiyo akili kuwa hela? U inashindikana nini kutumia akili hiyo kummiliki?Wengine tunaonekana wa motoni kumbe ni wema sana na akili nyingi sana sema financial ndo hatuko sawa...
Ila yote maisha wacha watudharau hakuna haja ya kusujudiana
Mawazo hayo mnayo ninyi pekee motivation speaker huku kwa ground bado mambo ni moto tunapambana sio mchezo..Sasa inashindikana nini kugeuza hiyo akili kuwa hela? U inashindikana nini kutumia akili hiyo kummiliki?