Wasichana huchagua wenza wao mapema

Wanakuja JF au wanajazana kwa mwamposa au nabii Enock pale Tangibovu tena jana nilipanda daladala walikuwa wengi wametoka kwa mwamposa
Ukiangalia vizuri ni wa sampuli gani? Hasa hao wanaokwenda kwa 'manabii'
 
Yaaan mtoa mada uko sahihi, ila kwa kipindi hiki cha vijana wa sasa wanawake wengi wakikuchagua uje kuna mambo kadhaa:-

1-Inawezekana upo sawa financially
2-Una nafasi nzuri katika jamii
3-Msanii wa muziki/maigizo, kila siku upo huko kwenye social media.
4-Unakaribia kustaafu, wapige kiinua mgongo.

Yaani pesa mbele kama tai siku hizi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wengine tunaonekana wa motoni kumbe ni wema sana na akili nyingi sana sema financial ndo hatuko sawa...
Ila yote maisha wacha watudharau hakuna haja ya kusujudiana
 
Ni heri akatae toa namba

Mabinti Siku hz wana background mbaya mno, wazazi wanasema binti mchafu sana yule"
 
Pole mkuu na mm nilikumbana na kisa kama chako.
Niliachwa baada ya mwezi akarudi kuomba msamaha, swali la kwanza akauliza kwani ww utafanya nn baadae (sasa n mwanachuo). Na mm nikamwambia hatutawezani papo kwa papo.

Siku hz n wavivu sana
Wengine tunaonekana wa motoni kumbe ni wema sana na akili nyingi sana sema financial ndo hatuko sawa...
Ila yote maisha wacha watudharau hakuna haja ya kusujudiana
 
Wengine tunaonekana wa motoni kumbe ni wema sana na akili nyingi sana sema financial ndo hatuko sawa...
Ila yote maisha wacha watudharau hakuna haja ya kusujudiana
Sasa inashindikana nini kugeuza hiyo akili kuwa hela? U inashindikana nini kutumia akili hiyo kummiliki?
 
Sasa inashindikana nini kugeuza hiyo akili kuwa hela? U inashindikana nini kutumia akili hiyo kummiliki?
Mawazo hayo mnayo ninyi pekee motivation speaker huku kwa ground bado mambo ni moto tunapambana sio mchezo..
 
Mawazo hayo mnayo ninyi pekee motivation speaker huku kwa ground bado mambo ni moto tunapambana sio mchezo..
Hahahahaaa... Pambana. Pia tafuta wa kufanana na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…