SPECIAL TMN
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 1,111
- 807
Unatakaje sasa?
Mimi nataka wawe wanafunguka lasivyo waache kututafuta maana hata mida hii katoka kunibip tena.Unatakaje sasa?
Kama nifikishe ujumbe kwani me nimemwambia anitafute na kama unasema wasichana wanahusikaje yeye kwanini awe na namba yangu na anisumbue hivyo aniambie tu kama ananifahamu.Sasa Wasichana wanahusika vipi hapo[emoji32][emoji32][emoji32]
Siku ingine ujumbe fikisha direct kwa huyo muhusika.
Sijatongoza mtu labda yeye ndo awe ananitongoza mimi.Baada ya kutongoza unakuja na lawama wewe kiazi kweli.