Wasichana jifunzeni, unapiga simu mara nyingi alafu unadai umekosea namba

Wasichana jifunzeni, unapiga simu mara nyingi alafu unadai umekosea namba

SPECIAL TMN

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
1,111
Reaction score
807
Habari za mihangaiko wanaJF.

Kuna kitu wasichana itabidi mjifunze binafsi kimenikera sana mtu unamtafuta au unambip zaidi ya mara4 anakupigia anakuuliza in a good way majina yako na sehemu unayokaa unadai umekosea namba kweli safari nne we unakosea tu?

Mtu anaweka vocha yake kukupigia unazingua eti umekosea namba mnaofanya hivyo acheni bora kukosea mara moja, ndo mara4 sasa. Ni hayo tu
 
Naona uko kwenye harakati za nyt halafu wanazingua. Kunywa maji ulale
 
Sasa Wasichana wanahusika vipi hapo[emoji32][emoji32][emoji32]

Siku ingine ujumbe fikisha direct kwa huyo muhusika.
 
Sasa Wasichana wanahusika vipi hapo[emoji32][emoji32][emoji32]

Siku ingine ujumbe fikisha direct kwa huyo muhusika.
Kama nifikishe ujumbe kwani me nimemwambia anitafute na kama unasema wasichana wanahusikaje yeye kwanini awe na namba yangu na anisumbue hivyo aniambie tu kama ananifahamu.
 
Back
Top Bottom