MpiganiaUhuru
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 777
- 912
Na huko nyuma kwa wanaume huwa unafuata nini hadi ujue kuwa kuna harufu flani? Aaaargh, hii dunia ya sasa inanichanganya sana![emoji72]Asante kwa ujumbe!!!
Ila usafi ni kwa wote... Tunakutana na wanaume majalala pia!!! Wengine hawajui kabisa kujisafisha nyuma!!!