Wasichana: Jisafisheni miili yenu mnatia aibu

Asante kwa ujumbe!!!
Ila usafi ni kwa wote... Tunakutana na wanaume majalala pia!!! Wengine hawajui kabisa kujisafisha nyuma!!!
Na huko nyuma kwa wanaume huwa unafuata nini hadi ujue kuwa kuna harufu flani? Aaaargh, hii dunia ya sasa inanichanganya sana![emoji72]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu una ugomvi nao au
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bila Shaka ni kavulana ndo kamebarehe kanakimbizana na mahousegirl wa watu ndo anakuja kulialia hapa,

Dogo kama huwezi kumhudumia mpenzi wako unafikiri atapendeza vipi mwili wa mwanamke gharama unatunzwa kama yai
Kwel kabisa nakuunga mkono
 
Hahahaha we jamaa yan kama hayo uliyoandika ndounayoyauna unaroho ngumu maana maandishi tu yanatia kinyaa
 
Mleta uzi,umenikumbusha mbali sana .kuna cku nilikuwa na appointment na dem lodge alipovua nguo had niliogopa demu alikuwa anatoa haruku ktk k hataree ikabidi nizuge napokea xim naitwa ofcn kuna dharura .....nikamwambia baby nitarud nimeitwa ofcn.baada ya miez miwili nikaonana nae njian aliona aibu had nilijishtukia aiseeeeee
 
Wanaijua gwanji kweli???
Hasa wanaojiita wa Dar???.
Ukitumia Gwanji kusugulia masufuria yanang'aa sijawahi ona.
Na stiliwaya lakini
 
Wanaijua gwanji kweli???
Hasa wanaojiita wa Dar???.
Ukitumia Gwanji kusugulia masufuria yanang'aa sijawahi ona.
Na stiliwaya lakini
Mkuu hivi unatokea kule zinapotengenezwa eeeh
I mean wanapo lima michikikichi eeh
 
Hivi nywele za kifuani na miguuni kwa wanaume zinaruhusiwa kunyolewa?

Swali jingine ,huwa nikiangalia movie au videos za wasanii wa kiume USA na Ulaya wengi hawanyoi makwapa kwao ni fasheni au?
 


Hao ndiyo wasichna wa Dar, machoni wana mvuto kwenye ligi ndogo watakutapisha kabla ya mechi kuanza na kupewa kadi nyekundu.
 
Hivi nywele za kifuani na miguuni kwa wanaume zinaruhusiwa kunyolewa?

Swali jingine ,huwa nikiangalia movie au videos za wasanii wa kiume USA na Ulaya wengi hawanyoi makwapa kwao ni fasheni au?


Usipende kuiga vitu vya nje....we kama unanyoa mavuzi na nywele za kwapa nyoa tu kwa starehe zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…