Akwende kwa wanawake sio wasichanaafadhali umeongelea wasichana ... wanawake tupo tofauti
Usikute ndo wanaoharibu mabinti zetu hawa
Baba mzima unaanzaje kumtongoza msichana hebu mwambie asitutie aibu wanaume wenzie [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]