Wasichana kuvaa nusu utupu ni kutafuta soko au fasheni?

Wasichana kuvaa nusu utupu ni kutafuta soko au fasheni?

Waenda na fashion na mambo ya kugeza tu.
 
Imekuwa ni hali ya kawaida kwa baadhi ya dada zetu kuvaa nguo zisizo na maadili.

Je hii ni kwaajili ya kutafuta soko au fasheni. Na je wazazi wako na ndugu zako wanakuchukuliaje, na wewe mwanaume ambaye upo kwenye mahusiano unajionaje mwezi wa anavyovaa nusu utupu?

yote yanaweza kuwa majibu, soko na fasion
 
Mi nahisi wanata kurudi kama ilivyokua enzi za adamu na hawa kabla hawajala tunda. Si nasikia walikua hawajavaa kitu?

Ila aisee niseme ukweli mimi hata wakivaa ma baibui, kichwa ikiwa idle natamani tu. Tena ndio imagination inakua noma. Actually nahitaji maombi kabisa!

Mkuu nasikia mzee wa upako hutoa usafiri wa bure hadi kanisani, ni wewe tu.
 
Women always dress to impress,hawapendi kabisa tupishane nao bila kuwatazama mara mbili au kuwatongoza.

Inawaathiri kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom