Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Maskio ntaongeza vitobo tu vya kuvalia hereni,afu nataka nitoboe pua pia. Kwa masonara tungeenda j2 ili tukanunue na karolaiti
lazima twende na wakati mkwe hata kama tushazeeka. usisahau na zile nywele za rihanna.