Wasichana, unaweza vumilia kuishi na boyfriend wako katika maisha haya

Wasichana, unaweza vumilia kuishi na boyfriend wako katika maisha haya

mwambadog

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
1,736
Reaction score
1,446
tuwe wakweli kidogo hasa katika maisha haya ya sasa
wasichana.PNG
 
Kupenda... na demu anaonekana bomba... kwa pamoja wataweza jenga bangalooo ili mradi wapendane tu...
 
Inawezekana, ilimradi kila mmoja awe mpiganaji
 
Labda wa vijijini hawa wa mjini wana nyodo sana japo wananasika kirahisi kuliko hao wa vijijini
 
Back
Top Bottom