mkuu unajua kuna tafiti nyingine lazima ziwe na ushahidi wa picha na video kabisa sio maneno makavu...
kwa vitendo kama vya vingono ama mapenzi, sio haki kumnyooshea mtu kidole kama hukufanya participant research tena yenye tangible fact finding investigations...
otherwise mtu kama mtoa mada ni rahisi sana kufukuzwa chuo akiendelea kuwa m-mbea bila ushahidi.....
Bongo hakuna chuo ambacho hakuna rushwa ya 'NGONO'.Kila chuo hii kitu ipo hapa TZ.
kabla sijajiunga na chuo kikuu nilikua nasikia kuhusu kina dada baadhi kutoa penzi na kupewa mtiani yaani kuoneshwa kabla ya mtiani.Nilipofanikiwa kujiunga na chuo nilishangaa kweli,kipindi cha mtiani ukiwa na urafiki na baadh ya wasichana utaskia tu anakwambia usisome hapo hatoi,soma hapa na hapa na kwel ukiingia kwenye pepa unakta ndo ivo.Rushwa ya ngono ndio chimbuko,maprofesa wasio na maadil wanatumia kazi zao kujinufaisha kingono.
Kama ushawahi experience ili tatizo karibu tushee hii tabia ni mbaya sana.
Rushwa ya ngono vyuo vinavyoongoza ni:
1.UDSM
2.saut
3. UDOM
4.TUMAIN
5MZUMBE
6TEKU