Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 12,454
- 11,029
mkuu unajua kuna tafiti nyingine lazima ziwe na ushahidi wa picha na video kabisa sio maneno makavu...
kwa vitendo kama vya vingono ama mapenzi, sio haki kumnyooshea mtu kidole kama hukufanya participant research tena yenye tangible fact finding investigations...
otherwise mtu kama mtoa mada ni rahisi sana kufukuzwa chuo akiendelea kuwa m-mbea bila ushahidi.....
Bongo hakuna chuo ambacho hakuna rushwa ya 'NGONO'.Kila chuo hii kitu ipo hapa TZ.