Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

jamani eeh samahani namtafuta FAB kokote aliko...
 
Mh... kweli hii mada kali

DA... kuna sababu nyingi sana za mtu kuoa na kuacha na naomba nikupe msimamo chanya kwa baadhi ya waliooa na kuacha

  1. inawezekana kabisa alioa kicheche na akapata ushahidi wa namna moja au nyingine
  2. sometimes mahusiano yanafikia point of no return, na badala ya watu kung'ang'aniana na kuumizana mioyo na hata milli ni bora kila mtu ashike lwake kwani si ajabu hamkuumbwa kuwa mwili mmoja
  3. baadhi ya ndoa zilikua arranged
  4. mwanaume aweza kuoa halafu akifilisika mara nyingi ndoa huwa balaa, ikitokea kwangu huyo mwanamke simrudii hata kama nimepata pesa kiasi gani... money oriented marriages
  5. wengine wameacha wanawake washirikina

kuna sababu alfu lela u lela zinazosababisha hayo na hukumu uliyotoa ni too general

yote uliyoyasema yaweza pia kuhamishiwa kwa mwanamke na tukawa tunahukumu na kunyima haki watu ambao hawana kosa lolote... we imagine dume bakaji, jambazi, chawi nk limeachwa na mkewe baada ya kugundua tabia mbaya ya mumewe... akitokea mwanamke kama huyo tusimuoe??
 
Cousin a bottle of BLACK LABEL for you i will have it shipped to you via DHL to TA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…