Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
Aisee ulikuwa umepotelea wapi mpenzi?
kulinda mume sweetheart, si unaona hapa ukiachika marufuku kuolewa tena!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee ulikuwa umepotelea wapi mpenzi?
Acha uongo wewe, pole kwa kuachwa
Ha ha ha MADAM T umenikumbusha MAMA BIG where is MAMA BIG when we need her the mostA very poor conclusion! Hapotezei mtu hapa, utajuta kumuacaha mumeo!
Heri mapadri,masista na watawa.maana ufalme wa Mungu ni wao..
MadamT naomba usome signature ya mtoa mada kwanza kabla ya kuendelea kujadiliana naye.
Speculation za watu tu hizo ukizifuata umeumia halafu ni bora upate ushauri kwa yule ambaye ameachika kidogo nitaelewakulinda mume sweetheart, si unaona hapa ukiachika marufuku kuolewa tena!
Mh... kweli hii mada kaliHabari zenu wote.
Katika pita pita zangu nimekutana na mambo mengi ambayo yamekuwa yakinishangaza sana. Katika wanaume 25 walioachana na wake zao (niliowafanyia uchunguzi) hawawi na mapenzi tena. Kama kuna msichana humu akikutana na mwanaume kama huyu namshauri akae mbali nae kabisa na uweze kujiuliza maswali yafuatayo:
1. Kwanini aliachana na huyo mkewe??
2. Wewe unakipi kipya hasa ambacho utamfanya asikuache kama huyo mwingine??
3. Kakufuata wewe kwa sababu gani??? (Pesa, uzuri, nk)
4. Alikuwa anatafuta pa kupumzika then ale kona lakini ukambana akashindwa kuchomoka
5. Endeleza na sababu zako nyingine nyingiiiiiiiiiii
NB: Usikubali kuolewa na mwanaume alieacha mkewe wa ndoa kamwe!!!!!!!!!!!!!!!11
Speculation za watu tu hizo ukizifuata umeumia halafu ni bora upate ushauri kwa yule ambaye ameachika kidogo nitaelewa
Ananijua vizuri
Cousin a bottle of BLACK LABEL for you i will have it shipped to you via DHL to TA.Mh... kweli hii mada kali
DA... kuna sababu nyingi sana za mtu kuoa na kuacha na naomba nikupe msimamo chanya kwa baadhi ya waliooa na kuacha
- inawezekana kabisa alioa kicheche na akapata ushahidi wa namna moja au nyingine
- sometimes mahusiano yanafikia point of no return, na badala ya watu kung'ang'aniana na kuumizana mioyo na hata milli ni bora kila mtu ashike lwake kwani si ajabu hamkuumbwa kuwa mwili mmoja
- baadhi ya ndoa zilikua arranged
- mwanaume aweza kuoa halafu akifilisika mara nyingi ndoa huwa balaa, ikitokea kwangu huyo mwanamke simrudii hata kama nimepata pesa kiasi gani... money oriented marriages
- wengine wameacha wanawake washirikina
kuna sababu alfu lela u lela zinazosababisha hayo na hukumu uliyotoa ni too general
yote uliyoyasema yaweza pia kuhamishiwa kwa mwanamke na tukawa tunahukumu na kunyima haki watu ambao hawana kosa lolote... we imagine dume bakaji, jambazi, chawi nk limeachwa na mkewe baada ya kugundua tabia mbaya ya mumewe... akitokea mwanamke kama huyo tusimuoe??
Nimeiweka maalumu kwa hii thread!!!!
Ha ha ha ha karibu sana