Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Hivi DA, ukiambiwa uchague uwe mpango wa nje wa mtu au uolewe na mwanaume aliemwacha mkewe wa kwanza, JE WEWE UTACHAGUA NINI?

Kwa sasa sina qualification za kufanya hivyo nimeolewa tayari mpango wa nje kwangu mmmmhhh
 
The finest ukiachika na mke mkubwa uni PM...

i can c a new chat room here...
Ha ha ha lol!! AMESEMA HATA NIFANYEJE HAWEZI KUNIACHA AMESEMA NITAZUNGUKA BUCHA ZOTE MWISHO WA SIKU NITARUDI KWAKE
 
Habari zenu wote.

Katika pita pita zangu nimekutana na mambo mengi ambayo yamekuwa yakinishangaza sana. Katika wanaume 25 walioachana na wake zao (niliowafanyia uchunguzi) hawawi na mapenzi tena. Kama kuna msichana humu akikutana na mwanaume kama huyu namshauri akae mbali nae kabisa na uweze kujiuliza maswali yafuatayo:
1. Kwanini aliachana na huyo mkewe??
2. Wewe unakipi kipya hasa ambacho utamfanya asikuache kama huyo mwingine??
3. Kakufuata wewe kwa sababu gani??? (Pesa, uzuri, nk)
4. Alikuwa anatafuta pa kupumzika then ale kona lakini ukambana akashindwa kuchomoka
5. Endeleza na sababu zako nyingine nyingiiiiiiiiiii

NB: Usikubali kuolewa na mwanaume alieacha mkewe wa ndoa kamwe!!!!!!!!!!!!!!!11


hiyo research yako ina utata. reseach yako ni ya wanaume 25 kati ya wangapi????????

Wanaume ndo wanamatatizo tuu au na kina mama pia?

Au umejifanyia research mwenyewe????? Wakukimbie ww tu.

NB: Wanandoa msitoke nje ya ndoa zenu.
 
Back
Top Bottom