Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Hommie...(Huyu Kimey mbona anatishia amani, tumtenge kwenye ile tripu ya Xmass bwana. Atatuharibia move)

Mnamsema sababu hayupo eeehhh ngoja aje. Na wewe Babu umeanza lini tabia hii???
 
ana zaidi ya matatizo
Baby girl umeenda kumuona au bado unakesha baa na kulala kwa Mama Big?
Mnamsema sababu hayupo eeehhh ngoja aje. Na wewe Babu umeanza lini tabia hii???
Tabia gani mamsapu? Na babu gani huyo hayupo? Babu tuko wawili tu, mimi babu mkubwa na babu mdogo Dark City.....Huyo kinyangarika mwingine anayejiita babu hebu ajitokeze nimtandike na mkongojo wangu nione kama atahimili....alaah!!
 
Ni Babu wewe umeanza tabia ya kumsengenya Kimey akiwa hayupo
 
Naheshimu wazee kwahiyo nasubiri babu arudi kwanza, nimeambiwa nikienda kumuona kabla Babu hajamuona naweza pata laana
 
Naheshimu wazee kwahiyo nasubiri babu arudi kwanza, nimeambiwa nikienda kumuona kabla Babu hajamuona naweza pata laana

Hiyo sio sababu ya msingi ni sababu ya nyongeza. Leta sababu iliyokamilika. Vizingizio tu nenda ukamuone acha kutuzuga hapa unakesha maisha club hapa halafu kule unashindwa kwenda
 
Hiyo sio sababu ya msingi ni sababu ya nyongeza. Leta sababu iliyokamilika. Vizingizio tu nenda ukamuone acha kutuzuga hapa unakesha maisha club hapa halafu kule unashindwa kwenda
Ona nlichokutendea hapo chini kwenye hii yuziful posti....mwambie kijana nkifika kabla hajaenda, namtwanga laana

The Following User Says Thank You to Dena Amsi For This Useful Post:

Asprin (Today)​
 
Ona nlichokutendea hapo chini kwenye hii yuziful posti....mwambie kijana nkifika kabla hajaenda, namtwanga laana

The Following User Says Thank You to Dena Amsi For This Useful Post:

Asprin (Today)​

Ha ha ha Babu asante sana nitakuleta ugoro jioni nikitoka mjini eeehhh.
 
Bado nakusubiria unipeleke paleeee panaitwa nini vile oohh mariedo au umeghairi tena Fidel??

Mi mbona ulinitosa ukampa ushindi baba Enock vp umepima uzito umeona mkono mfupi nini huyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…