Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Mbona Kimey ndugu yangu mnamsingizia?
Hommie...(Huyu Kimey mbona anatishia amani, tumtenge kwenye ile tripu ya Xmass bwana. Atatuharibia move)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Kimey ndugu yangu mnamsingizia?
ndo maana yake waacheni watoto wadogo waje kwangu hiyo
hommie...(huyu kimey mbona anatishia amani, tumtenge kwenye ile tripu ya xmass bwana. Atatuharibia move)
Kwa nini Dena?
Baby girl umeenda kumuona au bado unakesha baa na kulala kwa Mama Big?ana zaidi ya matatizo
Tabia gani mamsapu? Na babu gani huyo hayupo? Babu tuko wawili tu, mimi babu mkubwa na babu mdogo Dark City.....Huyo kinyangarika mwingine anayejiita babu hebu ajitokeze nimtandike na mkongojo wangu nione kama atahimili....alaah!!Mnamsema sababu hayupo eeehhh ngoja aje. Na wewe Babu umeanza lini tabia hii???
Baby girl umeenda kumuona au bado unakesha baa na kulala kwa Mama Big?
Tabia gani mamsapu? Na babu gani huyo hayupo? Babu tuko wawili tu, mimi babu mkubwa na babu mdogo Dark City.....Huyo kinyangarika mwingine anayejiita babu hebu ajitokeze nimtandike na mkongojo wangu nione kama atahimili....alaah!!
baby girl umeenda kumuona au bado unakesha baa na kulala kwa mama big?
tabia gani mamsapu? Na babu gani huyo hayupo? Babu tuko wawili tu, mimi babu mkubwa na babu mdogo dark city.....huyo kinyangarika mwingine anayejiita babu hebu ajitokeze nimtandike na mkongojo wangu nione kama atahimili....alaah!!
Mpwa leo ni siku gani vile ehee?
Sikukuu
Naheshimu wazee kwahiyo nasubiri babu arudi kwanza, nimeambiwa nikienda kumuona kabla Babu hajamuona naweza pata laana
Alhamisi kuu au?????
Ona nlichokutendea hapo chini kwenye hii yuziful posti....mwambie kijana nkifika kabla hajaenda, namtwanga laanaHiyo sio sababu ya msingi ni sababu ya nyongeza. Leta sababu iliyokamilika. Vizingizio tu nenda ukamuone acha kutuzuga hapa unakesha maisha club hapa halafu kule unashindwa kwenda
Bado nakusubiria unipeleke paleeee panaitwa nini vile oohh mariedo au umeghairi tena Fidel??
Mbona Kimey ndugu yangu mnamsingizia?