Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Nimeolewa na nina watoto wanne
 
Unielewi au?? Nimesema katika wanaume 25 niliowashuhudia sio TZ nzima bwana
 
I knw my dear lkn kwa ndoa zetu hizi za kanisani ni ngum kuvunjika,so watakuwa wametengana na mkewe tu si kuachana,ukiangalia upande mwingine hata ambao wako single,we are not sure kama hajawahi kuoa na kuacha mfno jamaa katoka zake huko nje au huko mkoani mf sumbawanga anakuja kunichumbia mm huku mtwara,its not easy knwing his life kiivyo,na ndoa ni pana,anaweza kuwa alioa hata ya kimila lkn tumeelezwa yoteeee,mke/mume mwema watokako,we beta stik into that.
lets get the facts straight you just overlooking things na kujipa hopes zisizo na msingi labda kama mnataka kuwa watawa ambayo na yenyewe ni mchezo wa kuigiza
 
Unachosema ni cha ukweli
 
Unielewi au?? Nimesema katika wanaume 25 niliowashuhudia sio TZ nzima bwana

Na bado nitazidi kuendelea kutokuelewa mimi nimepata hapa mwanamke JF mzuri tu nimemwambia nimeachana na mke wangu halafu unataka kunizibia kwa kuleta thread zako za ajabu, HA HA HA HA Just kiddin lol!!!!!!!!!
 
not true...kwanza utawakwaza watu fulani ambao wanapendelea mwanamke alieachika mara nyingi, ndio huyu wanamchukua kwa gharama yoyote...more rate of divorce, more market!
 
now you are talking
 
itategemea wameachana kwa reason gani! Kama ni ufuska, tusiwape nafasi kamwe! Wasote kwa maisha ya upweke na kutanga tanga maisha yao yote!
 
Na bado nitazidi kuendelea kutokuelewa mimi nimepata hapa mwanamke JF mzuri tu nimemwambia nimeachana na mke wangu halafu unataka kunizibia kwa kuleta thread zako za ajabu, HA HA HA HA Just kiddin lol!!!!!!!!!

Kila la heri bwana kama umeachana na mkeo utaendelea kuachana nao mpaka mwisho wa dhahari
 
not true...kwanza utawakwaza watu fulani ambao wanapendelea mwanamke alieachika mara nyingi, ndio huyu wanamchukua kwa gharama yoyote...more rate of divorce, more market!

:embarrassed::embarrassed:
 
hii ni ''the other way'' of glorifying ''mpango mzima'' BILA KUSIKIA/KUTAJA

SISI TULIOOA ndo vile tunaendelea ''kushain''.......!summary ya thread ya dena ni kwamba hawa wakinamama ambao wako singo wawe na sisi TULIOOA!

HABBARR ZETU TULIOOA BANAAAAA!

LONG LIVE ''MPANGO MZIMA''
 
Kwa nini Dena?
 
Good boy!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…