Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

sina utani na wewe TEAMO,so sielewi kwa nini unitaje?....jana pia ulifanya hivyo ukaedit....nakuona hivyo!!!

I LOVE YOU FAB!
can we please FABRICATE each other?
 
ahsante sana kwa kuniuzia hio kesi mzazi mwenzangu......!
WALLET POPOTE ULIPO JUST COME AND TRY ME.....!i would prefer a public battle
Ndugu angalia usije kuwa mkizi ukajitupa kwenye boti ya mvuvi na kuambulia :ban:
Tafuta uwanja kisha uwaalike mashabiki zako. Mi mwenyewe natosha kujishabikia
 
hamna siwezi kukuchakachua ikitokea ujue dena ndio atakuwa amenifundisha maana yeye ndiye mchakachuaji mkubwa sana

Usiponitaja hujisikii raha eeehhh leo nipo mpaka usiku silali maana nikitoka mnachakachua sana nyie nimewashitukia
 
ha ha ha!
unajua G ana shangazi zake wengi sana!mi nilidhan utakuwa huko kwenye baridi...lakin no baad,na samahani kwa kukutenga.

CHECK YOUR PM....

hahahah lol hamana neno kabisa yaani ...
lakini hata mie najisikia vizuri sasa..
haya ngoja mi nichanga mke na moja ...
 
Usiponitaja hujisikii raha eeehhh leo nipo mpaka usiku silali maana nikitoka mnachakachua sana nyie nimewashitukia

Kabisaaa without Finest hakuna Dena and without Dena hakuna Afrodenzi and without Afrodenzi hakuna Finest and without Afrodenzi hakuna Wiselady and without Kimey hakuna Wiselady and without Baba Enock hakuna Dena
 
hamna siwezi kukuchakachua ikitokea ujue dena ndio atakuwa amenifundisha maana yeye ndiye mchakachuaji mkubwa sana

hahahahah lol kwa hiyo kila kitu kibaya tuna m blame Dena au vipi ??hahah lol
 
Kabisaaa without Finest hakuna Dena and without Dena hakuna Afrodenzi and without Afrodenzi hakuna Finest and without Afrodenzi hakuna Wiselady and without Kimey hakuna Wiselady and without Baba Enock hakuna Dena

Saa nyingine una akili ila saa nyingine unaudhiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
ndugu angalia usije kuwa mkizi ukajitupa kwenye boti ya mvuvi na kuambulia :ban:
Tafuta uwanja kisha uwaalike mashabiki zako. Mi mwenyewe natosha kujishabikia

welcome to the chat room and get ready for the battle
 
Kevin vi mobile anapenda kutuma salamu zake kwa bi Dena Amsi popote pale alipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…