Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
sina utani na wewe TEAMO,so sielewi kwa nini unitaje?....jana pia ulifanya hivyo ukaedit....nakuona hivyo!!!
I LOVE YOU FAB!
can we please FABRICATE each other?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sina utani na wewe TEAMO,so sielewi kwa nini unitaje?....jana pia ulifanya hivyo ukaedit....nakuona hivyo!!!
haya bwana mie ndo mwaliko sipati ..
hmna neno nitume address kwenye PM nitume ka kitu na mie nijisie vizuri..
na ntajialika mwenye...
:hungry:
mmmmhhhhh umenichakachua hapo hahah lol
Ndugu angalia usije kuwa mkizi ukajitupa kwenye boti ya mvuvi na kuambulia :ban:ahsante sana kwa kuniuzia hio kesi mzazi mwenzangu......!
WALLET POPOTE ULIPO JUST COME AND TRY ME.....!i would prefer a public battle
hapo chacha!!!
mmmmmhhh we ulialikwa??
Au na we umejialika mwenyewe lol
hahah lol😛arty:
Ndugu angalia usije kuwa mkizi ukajitupa kwenye boti ya mvuvi na kuambulia :ban:
ha ha ha!
unajua G ana shangazi zake wengi sana!mi nilidhan utakuwa huko kwenye baridi...lakin no baad,na samahani kwa kukutenga.
CHECK YOUR PM....
Etiiiiiiii???? Umesema hauko tayariiii??? Wewe na yule garma utampeleka wapi utakomaa tu usijali
Usiponitaja hujisikii raha eeehhh leo nipo mpaka usiku silali maana nikitoka mnachakachua sana nyie nimewashitukia
hamna siwezi kukuchakachua ikitokea ujue dena ndio atakuwa amenifundisha maana yeye ndiye mchakachuaji mkubwa sana
Kabisaaa without Finest hakuna Dena and without Dena hakuna Afrodenzi and without Afrodenzi hakuna Finest and without Afrodenzi hakuna Wiselady and without Kimey hakuna Wiselady and without Baba Enock hakuna Dena
ndugu angalia usije kuwa mkizi ukajitupa kwenye boti ya mvuvi na kuambulia :ban:
Tafuta uwanja kisha uwaalike mashabiki zako. Mi mwenyewe natosha kujishabikia
ha ha ha na mimi nimeamua nijialike mwenyewe