Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Yaani we unachekesha kweli mie niachane na BE tangu lini na haiwezekani hata siku moja Desi namna gani bwan???

Na ikitokea tu umeachana na BE, mimi nakufanya kama mpango wangu wa nje, au unaonaje DA?
 
Na ikitokea tu umeachana na BE, mimi nakufanya kama mpango wangu wa nje, au unaonaje DA?

Mpango wa nje au kando?? Sihitaji kwa sasa Mkuu tafadhali. Halafu nyie mbona mnapenda sana mambo ya kuachana kwanini lakini??? Mie sina mpango wa kumuacha BE hata kidogo
 
Mpango wa nje au kando?? Sihitaji kwa sasa Mkuu tafadhali. Halafu nyie mbona mnapenda sana mambo ya kuachana kwanini lakini??? Mie sina mpango wa kumuacha BE hata kidogo

basi mpango mzima, au sio?
 
Ndiyo shida ya kujidai kuchagua wachumba lazima uingie mkenge tu tuulizeni sisi tuliochaguliwa wachumba na wazazi wetu wapenzi hatupati shida na hakuna hata fikra kwamba kuna siku tutaachana. Mnatumia principal za kizungu kupata wachumba weusi! Jua wazungu upendo hupungua kadri muda unavyokwenda ndiyo maana kuna taraka nyingi, wakati waafrika unaoa bila upendo sana ndipo upendo unaongezeka kadri muda uendavyo ndiyo maana ndoa za aina hiyo kutengana au talaka ngumu mno. Mmeiacha asili hamna budi kuibeba misalaba yenu mizito hiyo.
 
Kazi upo hapa sasa. Kimey uko wapi mkuuu unaibiwa huku huyu WL hajatulia kabisa

Dena nimekosea wapi na wewe???umeanza kuwa kama fainest eeh!huyu kishili hapo hajui kama huko aliko tulishatoka??saa hizi tuna:whoo::whoo:
 
WL wewe umekuwa Fidel leo?? Kwani umeamkaje leo mbona sikuelewi?? Ushakunywa ulanzi nini saa hizi

Mawazo mingi Dena twende taratiibu,,nahitaji sana faraja yako hasa kipindi hiki kigumu
 
Ndugu hii ni chatrum huko tulishatoka siku nyiiiiiiiiiiingiiiiiiiiiii karibu ujiunge
 
Dena nimekosea wapi na wewe???umeanza kuwa kama fainest eeh!huyu kishili hapo hajui kama huko aliko tulishatoka??saa hizi tuna:whoo::whoo:

nishampa salamu zake tayari Kishiii hasomi between lines??? kuwa tulishahama siku nyiiiiiiiiiiingiiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…