Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Kimey yupo tu usijali dear yuko busy na wananchi bwana acha mawazo christamas isije haribika dear
Missing u too swirry! Wapiga kura bado wana maswali mengi! Achana na huyo the Finest hana jipya!Usinikumbushe kimey wangu maana nnavyommis,,,,halafu ukome na udaku wako muone vile
Missing u too swirry! Wapiga kura bado wana maswali mengi! Achana na huyo the Finest hana jipya!
he wajameni mwili tena mbona umeenda mbali hivyo???
missing u too swirry! Wapiga kura bado wana maswali mengi! Achana na huyo the finest hana jipya!
WL mie kidhungu not reachable andika kiswahili bwanaaa
dena nimekosea wapi na wewe???umeanza kuwa kama fainest eeh!huyu kishili hapo hajui kama huko aliko tulishatoka??saa hizi tuna:whoo::whoo:
Kuwa na msimamo Fidel bwanaa aaahh
ah!sorry mum!!umenionea afrodenzi????maana nako hakajatulia namuonea huruma ze....
hehehehe msimamo wa mpango mzima! Huu sidhani kama upo muulize r.r hata the finest
mi namwonea wivu kweli kweli kimey naweza kumpindua?
Missing u too swirry! Wapiga kura bado wana maswali mengi! Achana na huyo the Finest hana jipya!
kimey siku hizi ni kipofu haoni kwahiyo hauhitaji hata kumpindua
Fidel na wiselday mko kwenye chat room au kwenye dating room ni swali tu jamani
Hommie boi karibu natangaza vita