Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Dada wa busara, leo najisikia mpweke sana. Hebu do the needful kwa bigi ili apate kuachwa na upweke.
 
mkuu unampigia mbuzi gitaa???????????!!!!!!!!!! most of them are facilitators.




Habari zenu wote.

Katika pita pita zangu nimekutana na mambo mengi ambayo yamekuwa yakinishangaza sana. Katika wanaume 25 walioachana na wake zao (niliowafanyia uchunguzi) hawawi na mapenzi tena. Kama kuna msichana humu akikutana na mwanaume kama huyu namshauri akae mbali nae kabisa na uweze kujiuliza maswali yafuatayo:
1. Kwanini aliachana na huyo mkewe??
2. Wewe unakipi kipya hasa ambacho utamfanya asikuache kama huyo mwingine??
3. Kakufuata wewe kwa sababu gani??? (Pesa, uzuri, nk)
4. Alikuwa anatafuta pa kupumzika then ale kona lakini ukambana akashindwa kuchomoka
5. Endeleza na sababu zako nyingine nyingiiiiiiiiiii

NB: Usikubali kuolewa na mwanaume alieacha mkewe wa ndoa kamwe!!!!!!!!!!!!!!!11
 
Back
Top Bottom