Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Dena naona umeamua kukaa pembeni tu leo...
nakuona hapo chini ...
mmmhh bibie usikimbie nyumba mapema hivyo
hahahah lol
 
Dena naona umeamua kukaa pembeni tu leo...
nakuona hapo chini ...
mmmhh bibie usikimbie nyumba mapema hivyo
hahahah lol

week end njema woooote.Dena ameng'ang'aniwa hapo na De javu anahtji rescue
 
week end njema woooote.Dena ameng'ang'aniwa hapo na De javu anahtji rescue

na wewe pia Wiselady wangu..
mmmhh we ngoja BE amwone Dena na De Javu pamoja..
hapo ndo kasheshe la mwaka litaanza lol
 
Jamani hamjambooooo wooooooooote????? AD na TF mnajua niko likizo Imboru so niko busy na upikaji wa busa na manguree sitakuwa hewani kwa muda kidogo nawamisss wajameni. WL upo dada??? Napita tu kuwasalimu nakuwatakia sikukuu njeam
 
Kumbe mko huku?

Mi nimeoa kwa hiyo sihitaji wasichana ambao hawajaolewa, Especially wa JF.

Babu Narudi kitandani.
 
Kumbe mko huku?

Mi nimeoa kwa hiyo sihitaji wasichana ambao hawajaolewa, Especially wa JF.

Babu Narudi kitandani.

hahahah lol sasa babu ambao hatujaolewa tuende wapi ??
ka we hutataki wajukuu zako>??

vipi mambo lakini za kupotea??
 
Jamani hamjambooooo wooooooooote????? AD na TF mnajua niko likizo Imboru so niko busy na upikaji wa busa na manguree sitakuwa hewani kwa muda kidogo nawamisss wajameni. WL upo dada??? Napita tu kuwasalimu nakuwatakia sikukuu njeam

haya Dena si tumesha kumiss..
hamna anayeosha vyombo, chakula ni drive thro kila siku, hakuna anaye vacuum,
yaani mpaka urudi hii nyumba ni balaa...
tunakusubiri kwa hamu sana mama mwenye nyumba..
na TF kahama nyumba harudi mpaka we urudi lol
WL na babu Aspirin ndo wanaojitahidi kuendeleza hii nyumba....

Merry X-mass dear ..and a very wonderful new year for u and ur lovely family ...
 
Gud Girl - See you next year and Enjoy all the Blessings from Allah
 
Habari zenu wote.

Katika pita pita zangu nimekutana na mambo mengi ambayo yamekuwa yakinishangaza sana. Katika wanaume 25 walioachana na wake zao (niliowafanyia uchunguzi) hawawi na mapenzi tena. Kama kuna msichana humu akikutana na mwanaume kama huyu namshauri akae mbali nae kabisa na uweze kujiuliza maswali yafuatayo:
1. Kwanini aliachana na huyo mkewe??
2. Wewe unakipi kipya hasa ambacho utamfanya asikuache kama huyo mwingine??
3. Kakufuata wewe kwa sababu gani??? (Pesa, uzuri, nk)
4. Alikuwa anatafuta pa kupumzika then ale kona lakini ukambana akashindwa kuchomoka
5. Endeleza na sababu zako nyingine nyingiiiiiiiiiii

NB: Usikubali kuolewa na mwanaume alieacha mkewe wa ndoa kamwe!!!!!!!!!!!!!!!11

Mhh Unazungumzia wanaume 25 tu walioachana na wake zao. wewe unadhani kuna jumla wanaume wangapi walio achana na wake zao?

Fanya research zaidi...kwa mtazamo wangu umeandika bila ya kujua unachokiandika.
 
Gud Girl - See you next year and Enjoy all the Blessings from Allah

hahahaah lol BE wewe kumbe bado uko lol

nway nakutakia kila lakheri kwa mwaka mpya wa 2011...
na Mwezi Mungu akuongeze barake zake kwenye siku hiyo ya kuzaliwa mtoto Yesu..
My God Bless u and ur beautiful family...
 
Where you at sweet heart???
 
Back
Top Bottom