Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

huwa tunapishana,,nnapotoka mlimani kuja hapa wewe unakuwa umeshaenda ovyo2

usiwe kama huyu
quote_icon.png
originally posted by dena amsi
poa mie narudi kwenye mapipa ya pombe kesho basi
 
Habari zenu wote.

Katika pita pita zangu nimekutana na mambo mengi ambayo yamekuwa yakinishangaza sana. Katika wanaume 25 walioachana na wake zao (niliowafanyia uchunguzi) hawawi na mapenzi tena. Kama kuna msichana humu akikutana na mwanaume kama huyu namshauri akae mbali nae kabisa na uweze kujiuliza maswali yafuatayo:
1. Kwanini aliachana na huyo mkewe??
2. Wewe unakipi kipya hasa ambacho utamfanya asikuache kama huyo mwingine??
3. Kakufuata wewe kwa sababu gani??? (Pesa, uzuri, nk)
4. Alikuwa anatafuta pa kupumzika then ale kona lakini ukambana akashindwa kuchomoka
5. Endeleza na sababu zako nyingine nyingiiiiiiiiiii

NB: Usikubali kuolewa na mwanaume alieacha mkewe wa ndoa kamwe!!!!!!!!!!!!!!!11


kaka pole sana maana naona umeangalia shilingi upande mmoja. Research yako naona ni sawa na bidhaa za kichina
Je umejaribu kuangalia source na changamoto zaa watu kuachana?? Au umekurupuka usingizini mtu wangu? Vitu kama umalaya uliokubuhu,ulevi, uchizi, caree wa HIV/AIDS,magonjwa ya kuridhi,ugumba,ushoga,na mengine mengi ulifikiriaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa?????????????
Think twice men?
 
Dena Laway .orok. Ila binadamu wote si sawa. Kila mmoja na tabia za na huenda kweli chaguo lake la kwanza halikua sahihi hiyo si vibaya akapewa nafasi tena. Huenda alishinikizwa kumwoa hyo mwanamke so u just give him another chance.

Ha ha ha ha ha ha nasiiiii nasiiiiiiii nasiiii nasiiiiii nasiiiiii
 
kaka pole sana maana naona umeangalia shilingi upande mmoja. Research yako naona ni sawa na bidhaa za kichina
Je umejaribu kuangalia source na changamoto zaa watu kuachana?? Au umekurupuka usingizini mtu wangu? Vitu kama umalaya uliokubuhu,ulevi, uchizi, caree wa HIV/AIDS,magonjwa ya kuridhi,ugumba,ushoga,na mengine mengi ulifikiriaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa?????????????
Think twice men?

Ha ha ha ha ha wewe kweli la mchina umeshachakachuliwa huko tulishatoka mkuu eeehhh naona hata hujui nini unaongea Men ni nani hapa??? Soma thread uelewe kinachoendelea sio kukurupuka hovyo!!!!!
 
hahahah lol hiyo safi sana..
mi mzima kabisa..
naona x-mass itakuwa fresh ile mbaya maana mahindi ya Karatu yanaoteshagwa kwenye mawe lol
take care

Jambo jambo niko karatu narudi jioni leo imboru ha ha ha kuna wageni humu umewaona?? Mwaka mpya mwema banaaa
 
DENA umeachwa niini? Mimi Sikubaliani na wewe!
Habari zenu wote.
Kuna sababu nyingi zinachangia mtu kuachwa
1. Mwanamke anabadilika akisha ingia ndani
2. Mwananmke akuheshimu tena
3. Ana mahusiano mengine nje ya ndoa
4. Alikupendea pesa sasa kaona mambo yanaenda vibaya anaanza kuhangaika
5. Zipo sababu nyingine nyingiiiiiiiiiii

NB: Kukubali au kutokubali inategemea sababu hapo juu!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom