Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

duuhhh Dena bado upo ....
nilithani ulisema umesha enda Imboru kutengeneza Busa ya x-mass..
vipi lakini mtu wangu?


Nimekuja Karatu kuchukua mahindi ya manguree nikaingia mtandaoni kiaina mie mzima kabisa wewe vipi??
 
ni soo rafiki hiyo ngumu kabana ile mbaya hakufai kabisa mpaka .... Nitakupm baadae au kesho kuna bonge la issue halijakaa vyema kabisa

haina mbaya ndio maana nilikuwa naona network haisomi kama ya tigo vile
 
Habari zenu wote.

Katika pita pita zangu nimekutana na mambo mengi ambayo yamekuwa yakinishangaza sana. Katika wanaume 25 walioachana na wake zao (niliowafanyia uchunguzi) hawawi na mapenzi tena. Kama kuna msichana humu akikutana na mwanaume kama huyu namshauri akae mbali nae kabisa na uweze kujiuliza maswali yafuatayo:
1. Kwanini aliachana na huyo mkewe??
2. Wewe unakipi kipya hasa ambacho utamfanya asikuache kama huyo mwingine??
3. Kakufuata wewe kwa sababu gani??? (Pesa, uzuri, nk)
4. Alikuwa anatafuta pa kupumzika then ale kona lakini ukambana akashindwa kuchomoka
5. Endeleza na sababu zako nyingine nyingiiiiiiiiiii

NB: Usikubali kuolewa na mwanaume alieacha mkewe wa ndoa kamwe!!!!!!!!!!!!!!!11

Dena Laway .orok. Ila binadamu wote si sawa. Kila mmoja na tabia za na huenda kweli chaguo lake la kwanza halikua sahihi hiyo si vibaya akapewa nafasi tena. Huenda alishinikizwa kumwoa hyo mwanamke so u just give him another chance.
 
Nimekuja Karatu kuchukua mahindi ya manguree nikaingia mtandaoni kiaina mie mzima kabisa wewe vipi??

hahahah lol hiyo safi sana..
mi mzima kabisa..
naona x-mass itakuwa fresh ile mbaya maana mahindi ya Karatu yanaoteshagwa kwenye mawe lol
take care
 
Back
Top Bottom