GY
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,279
- 126
You see, mama yahaya was right, you are sweet heart-ing every lady you see around.
Bigi babu anasema hapendi wanawake ambao hawajaolewa, hasa wa JF...au nayeye anataka kusema wake za watu ni watamu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You see, mama yahaya was right, you are sweet heart-ing every lady you see around.
kwa mujibu wa kaaannuniii shaaariaaa zaa npuuunge..............Tayari amemaanisha MIPANGO MIZIMA ya wenzake ni mitamuBigi babu anasema hapendi wanawake ambao hawajaolewa, hasa wa JF...au nayeye anataka kusema wake za watu ni watamu?
kwa mujibu wa kaaannuniii shaaariaaa zaa npuuunge..............Tayari amemaanisha MIPANGO MIZIMA ya wenzake ni mitamu
haya Dena si tumesha kumiss..
hamna anayeosha vyombo, chakula ni drive thro kila siku, hakuna anaye vacuum,
yaani mpaka urudi hii nyumba ni balaa...
tunakusubiri kwa hamu sana mama mwenye nyumba..
na TF kahama nyumba harudi mpaka we urudi lol
WL na babu Aspirin ndo wanaojitahidi kuendeleza hii nyumba....
Merry X-mass dear ..and a very wonderful new year for u and ur lovely family ...
Maneno yenu yawe na neema siku zote, yawe na chumvi, mpate kutambua jinsi iwapasavyo kumjibu kila mtu.
Sema tu mwanamke!!Hii "jike" ni kwa wanyama tu kutumia hapa ni udhalilishaji wa kijinsia angalia kamusi tafadhali!
NB: 2. Pia usikubali kuoa janajike lililoachika kwa mmewe
Wasichana wasioolewa wanazungumza hapa....wengine wote out!
Where you at sweet heart???
n b4 kumkubalia asi utakuwa umemwuliza muktadha wa kukutaka/sjui kukupenda(uongo)
km atataka chapa ilale asepe poa aseme peupe
km akitaka kukufanya cape of good hope pia aseme
au wewe mwenyew waweza soma alama za nyakat....ukajua anataka nin kwako
km ushajua anataka akufanye kikanyagio tu kwa miez sjui kwa siku moja then asepe kwa mke wake utakubali?
wasichana inabd tujitambue na tutumie akili zetu katika kujua wanaume wanataka nini kwetu lakin km mtu husika ni GOLDGER awez fikiri ayo yote ye anataka chapaa basi ukitaka ukae ukitaka utambae as long chapaa anapata bas yatosha....
tumien kamuda kdg kuchunguza mwanaume anakutakia nini ...km chapa ilale mwambie aendae kndon km ana nia bas mchunguzane kwanza mpk ujiridhshe....USIKURUPUKE CZ WANAUME WAWATU NI SUMU+AIBU KUTEMBEA NA LEO UYU KESHO YULE
TUJICHUNGE NA TUJIHESHIMU CZ MIILI YETU NI HEKALU LA ROHO MTAKATIFU.
NAWAPENDA WOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOTE.
hujambo wewe? mbona kimyaa?Habari yako WL??? Christmas njema bwana!!!
Haya bana Xmas njema na wewe!! kweli huko ulipo umeshikwa maana hata beep hakuna! EnjoyMzima si unajua niko huku porini napika pombe kwa ajili ya sikukuu si unajua pombe zetu zinapikwa wiki nzima?? Mtandao uko down sana naingia kwa kubeep tu huku. Mzima lakini?? Christmas njema dear!!!!
hahahaha nimesha soma katikati ya mstari hapo....lolTF anaelewa kila kitu muulize ni balaa haikufai ndugu
Tayari ushatua?? Au bado Miami??? Niandae mikakati ya al-batar????
mbado! kesho hiyooo!Tayari ushatua?? Au bado Miami??? Niandae mikakati ya al-batar????