The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
habari ya ordinary citizen bana!
habari yake anonymous banaaa na gender issues
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habari ya ordinary citizen bana!
nimeshuka jana,,lol
asante mpwa, hivi nani yupo kwenye moon, nataka kumuazima the finest chopper yangu fasta amfuate wakale al-batar
supu ya tetea ambalo limeachika nitapata?
kimey naye yuko kwenye moon
umeshamuona mtu anaitwa waziri mkuu huku mmu??think is ur twin
Habari ya kupewa mshahara mkubwa na anonymous kupewa mdogo banahabari yake anonymous banaaa na gender issues
yule nimempa dawa yake maana alikuwa anaingia kichwa kichwa
nataka tetea lililoachika.Hahaha utapata supu ya tetea anaye taga
habari ya kupewa mshahara mkubwa na anonymous kupewa mdogo bana
Habari zenu wote.
Katika pita pita zangu nimekutana na mambo mengi ambayo yamekuwa yakinishangaza sana. Katika wanaume 25 walioachana na wake zao (niliowafanyia uchunguzi) hawawi na mapenzi tena. Kama kuna msichana humu akikutana na mwanaume kama huyu namshauri akae mbali nae kabisa na uweze kujiuliza maswali yafuatayo:
1. Kwanini aliachana na huyo mkewe??
2. Wewe unakipi kipya hasa ambacho utamfanya asikuache kama huyo mwingine??
3. Kakufuata wewe kwa sababu gani??? (Pesa, uzuri, nk)
4. Alikuwa anatafuta pa kupumzika then ale kona lakini ukambana akashindwa kuchomoka
5. Endeleza na sababu zako nyingine nyingiiiiiiiiiii
NB: Usikubali kuolewa na mwanaume alieacha mkewe wa ndoa kamwe!!!!!!!!!!!!!!!11
:ranger::ranger::ranger::shut-mouth::shut-mouth:mkuu unampigia mbuzi gitaa???????????!!!!!!!!!! most of them are facilitators.
Nangoja dawa bado.
unajua sijaacha mke. bado nauzika. ila dawa sasa!!wako vizuri wambugani
Nangoja dawa bado.
wako vizuri wambugani