ok,kama huwezi olewa na bwana alieacha mke wake, basi kubali tu kuwa utakuwa mpango wa nje kwa namna au gharama yeyote ile!!!!
Mpango wa nje ni sawa lakini natafuta asiyewahi kuoa na kuacha sijui unanielewa navyosema kuoa? Namaanisha ndoa ya kufungwa na kuzaa watoto
NB: 2. Pia usikubali kuoa janajike lililoachika kwa mmewe
Habari zenu wote.
Katika pita pita zangu nimekutana na mambo mengi ambayo yamekuwa yakinishangaza sana. Katika wanaume 25 walioachana na wake zao (niliowafanyia uchunguzi) hawawi na mapenzi tena. Kama kuna msichana humu akikutana na mwanaume kama huyu namshauri akae mbali nae kabisa na uweze kujiuliza maswali yafuatayo:
1. Kwanini aliachana na huyo mkewe??
2. Wewe unakipi kipya hasa ambacho utamfanya asikuache kama huyo mwingine??
3. Kakufuata wewe kwa sababu gani??? (Pesa, uzuri, nk)
4. Alikuwa anatafuta pa kupumzika then ale kona lakini ukambana akashindwa kuchomoka
5. Endeleza na sababu zako nyingine nyingiiiiiiiiiii
NB: Usikubali kuolewa na mwanaume alieacha mkewe wa ndoa kamwe!!!!!!!!!!!!!!!11
labda ungenieleza kwanza hao waliowahi kuoa na kuacha utawatambuaje?pili, wana mabaya gani ambayo unayaogopa?
Utawatambua kwa kuwa na watoto na watakueleza nilikuwa na mke tukaachana. Kama ameshindwa kukaa na mke wake wa ndoa wewe utawezaje na una nini hasa cha ajabu ambacho huyo aliyempenda mpaka akamuoa alichokosa??? Wanakuwa na mapungufu mengi mno
Poa ukifika unitaarifu sawa
Dena kila mtu anaweza kua na makucha yaliyojificha kwa maana hiyo hata mahusiano ya kawaida tu tuyaogope!Coz kama mtu kashindwana na x wake alafu anataka kunioa mimi ntamuwezaje!!Sio haki bwana...cha muhimu ni kumsoma mtu na kumuuliza up front ilikuwaje!Lizzy utakuwa mwangalifu sana lakini ukiingia ndani makucha yanatokeza utafanyaje??????????????
Hata ww uki try ku cheat on him u'll b cheated by all the mens!!ur rite kwakweli,if he cheated on her,he will cheat on you.
Dena kila mtu anaweza kua na makucha yaliyojificha kwa maana hiyo hata mahusiano ya kawaida tu tuyaogope!Coz kama mtu kashindwana na x wake alafu anataka kunioa mimi ntamuwezaje!!Sio haki bwana...cha muhimu ni kumsoma mtu na kumuuliza up front ilikuwaje!
Kule hakufai tena tuna beep tu na kuishia wanoko kibao
labda ungenijuza kwanza kwamba, hivi unatambua kuwa nyinyi wanawake mna tofautiana sana kwa uzuri, tabia na mambo mengine mengi tu?wewe, Dena, sio sawa na Wiselady, Firstlady, Nyamayao na wengine wengi tu pamoja kwamba nyote ni wanawake!
Ni kweli Pearl lakini wapo ambao pia huachana bila ridhaa yao.... wengine walipooa hawakudhania kuwa wenzi wao wako vile walivyo so mwisho wakalazimika kuachana..................so so wote wapo ambao baada ya kuacha wakajapata pepo ati na wakatulia tuuuuuli. Hivi hakuna wanawake wenye tabia hizo?ur rite kwakweli,if he cheated on her,he will cheat on you.
labda ungenijuza kwanza kwamba, hivi unatambua kuwa nyinyi wanawake mna tofautiana sana kwa uzuri, tabia na mambo mengine mengi tu?wewe, Dena, sio sawa na Wiselady, Firstlady, Nyamayao na wengine wengi tu pamoja kwamba nyote ni wanawake!
Kama yeye hakua chanzo cha kuachana si itakua hatendewi haki?Wanawake wengine wanashindikana Dena!Kuna mmoja kakimbia na kumwachia mume mtoto mdogm alafu hata haimuumi..sababu yake ni kwamba hakuwahi kumpenda mume aliolewa kwa ajili ya maisha tu!Sasa niambie ni haki kumwadhibu mwanaume kama huyo ambae hana kosa??Yani kaka wa watu anabembeleza mpaka unamwonea huruma...utadhani ni kosa lake!Utamsoma na ataficha makucha Lizzy. Shida yangu kwanini na sababu gani