bacha
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 4,282
- 797
Asubiri siku yake ma yeye
hebu toeni majibu ya kueleweka hapa pamoja na wiselady wako!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asubiri siku yake ma yeye
Nimeongea na pande zote mbili na ni watu wanaonihusu akiwemo mjomba wangu
hivi wewe Dena , umeshawahi kuachika?
Leta swali hadharani uone kama hakuna majibu. Halafu leo unahasira umekasirishwa na nani huko?? Au uliacha mke nini??
Sijawahi wala sina mpango huo hata kidogo
oraiti
Nimehukumu nilio na evidence nao ndo maana nikataja 25
Hili ndilo jibu ulilokuwa unalitaka??
ndio, kwasababu linanipa mwelekeo!
hebu toeni majibu ya kueleweka hapa pamoja na wiselady wako!
unajua tatizo ni kwamba mtu ukishaumwa na nyoka, basi ukiona un'gong'o tu unashtuka!kuyajua haya yote ya sababu za ndoa kuachika, tena mambo ya ndani haswaaaaa, na mwisho ukaja na jibu kuwa wanaume ndo walikuwa na makosa basi kwa namna moja labda ulishiriki katika kuachika kwa hizo ndoa!
Nawasilisha!!!!
What is she was cheating on him? Kumbuka, a cheater lazima awe na partnerur rite kwakweli,if he cheated on her,he will cheat on you.
My Love:
You have nailed it!!
Ndoa ya pili huwa ni "by the way" - Agree to Disagree ili tuendelee na maisha! Ndiyo maana nyumba za ibada za "mlengo" fulani zinaelekeza kuwa "ndoa ni for life"! Aidha Mwanamke au Mwanaume aliyeachika huwa anabaki na "kovu" la maisha....
Ana lake jambo huyu si bure kaacha mkewe wa ndoa basi imemtachi ndo maana kawa hivyo ninaye tu simwachi
Ha ha ha ha ha umenena vyema nilishiriki kuwaambia achaneni kwa kuwa hamtawezana tena hii sio ndoa bali ndoano. Nilishiriki haswa kikamilifu si kwa zote kama saba hivi