Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Habari gani hapa Chatrum??????
Njema mama karibu sana miss u
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari gani hapa Chatrum??????
Poa poa tupo hebu nenda katende haki kule kwenye wanawake na vitambi nimetenda haki huko
Njema mama karibu sana miss u
Mpwa leo ni siku gani vile ehee?
Goodmorning love
Fidel Fidel,,ntendee haki.Miss u more!
Inafanania ijumaa mpwa sijui kama nimepatia...huendi kumuaga Dr remmy? (RIP)
Good morning watu wa Mungu.
Habari zenyu za usubuhi.
Kwa wanaume wote weupe, wafupi na wanawake wenye vitambi...nawasalimu kwa jina la bwana
Amen Amen,,karibu ktk uzinduzi wa chatrum
Ha ha ha Babu asante sana nitakuleta ugoro jioni nikitoka mjini eeehhh.
Mambo mengine ya chumbani unayaleta sebuleni tena aahhh wewe naye bwana hebu rusha hukooooooooooooo
gy umenicha hoi halafu nahisi wewe ni mweupe.
Niliwamisi wote.Gudimoningi Mkuu