Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

niliwamisi wote.
Teamo bado yupo paternity leave?
Fidel bado unakunywa safari laga tiptop?
Asprin umepona?
Rr umeshafanyia service taxi yako tayari kwa kwenda mndenyi?
The finest, mama big yupo wapi?
Rose, hivi semina elekezi haiishi tu?
Gy, habari ya chuma ulete bana
firstlady, hatibreka anakusalimu sana
kimey, nasikia kuna bar mpya kihesa, ni kweli?
Mama big, big amerudi sasa, karibu
kaizer; nasikia umevuliwa uongozi baada ya chama kupewa jina jipya la mpango wa nje
mj1, kamati kuu inataka kukupa tuzo ya haki za mapenzi ya mwaka 2010
anonymous woooote........nipo kimpango mzima kuelekea mwisho wa mwaka.

ha ha ha ha ha ha ha
 
Kimey has login shortly just to say hi to you all! Mkinionea my honey WiseLady mwambieni nimemmiss mbaya!
Babu na Pope Keizer am watching you very closely!
Ok ok c u later guys ngoje nia nijibu maswali ya wapiga kura hapa!

Nakumiss swithat ngoja nipande mlimani na ze fainest kama humtaki babu,,ila Pope kaizer yeye ni con:whoo:stant
 
Niliwamisi wote.
Teamo bado yupo Paternity leave?
Fidel bado unakunywa safari laga tiptop?
Asprin umepona?
RR umeshafanyia service taxi yako tayari kwa kwenda mndenyi?
The Finest, Mama Big yupo wapi?
Rose, hivi semina elekezi haiishi tu?
GY, habari ya Chuma ulete bana
Firstlady, hatibreka anakusalimu sana
Kimey, nasikia kuna bar mpya Kihesa, ni kweli?
Mama big, big amerudi sasa, karibu
Kaizer; nasikia umevuliwa uongozi baada ya chama kupewa jina jipya la MPANGO WA NJE
MJ1, kamati kuu inataka kukupa tuzo ya haki za Mapenzi ya mwaka 2010
anonymous woooote........Nipo KIMPANGO MZIMA kuelekea mwisho wa mwaka.

Habari yake bigiritaaaaa......hii post walai lazima tuinywee bia leo....sababu nyingine ya kunywa bia!
 
Ha haha ha ha ha ha si ile imekwenda kwa wakubwa na wengine hatugusi huko
Nimejisikia kusema hivi:

Mwanamke mwema ni nani awezaye kumwona?
Maana kima chake chapita kima cha marijani.
Moyo wa mumewe humwamini,
Wala hatakosa kupata mapato.
 
habari yake bigiritaaaaa......hii post walai lazima tuinywee bia leo....sababu nyingine ya kunywa bia!

sababu nyingine ya leo kuimba.......ccm ndioooo baba, ccm ndioooo mama, ccm yajenga nchi, mapinduzi tuongozee
 
nimejisikia kusema hivi:

Mwanamke mwema ni nani awezaye kumwona?
Maana kima chake chapita kima cha marijani.
Moyo wa mumewe humwamini,
wala hatakosa kupata mapato.

ha ha ha bigirita naona unaanza kufuata nyayo za mwanakijiji
 
Back
Top Bottom