Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,039
- 7,465
Coordinates zinafahamika. roger that.Habari yake bigiritaaaaa......hii post walai lazima tuinywee bia leo....sababu nyingine ya kunywa bia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Coordinates zinafahamika. roger that.Habari yake bigiritaaaaa......hii post walai lazima tuinywee bia leo....sababu nyingine ya kunywa bia!
twende basi kabla kimey hajarudi:a s-alert1:
there must be a reason.........na leo, sababu ni post ya bigirita.Hapo kwenye bluu mmmhhh mpaka sababu??
Twende basi kabla kimey hajarudi:A S-alert1:
haya haya fasta tangulia niko nyuma yako kimey amelala tukimaliza tunarudi
sasa mpango wa nje + mpango wa nje=
asante kwa kujali maslahi yangu.
Fidel bado unakunywa safari laga tiptop?.
"MONEY HAS A CRUSH ON ME" The Finest.
zitatoka kwako kwenda kwa Kimey.
there must be a reason.........na leo, sababu ni post ya bigirita.
Roger that. are you game? mimi sio mweupe.
HA HA HA HA HA Hadi zije zifike Usalule kabla hazijapita kwa "CHUMA ULETE" inawezekana kweli????
Hapo mpwa hilo chimbo ukija siku moja na uhakika kikosi chote cha JJ kitahamia pale uzuri kuna mjengo hapo hapo.
mwisho wa siku unakuwa mpango mzima ndio raha yake
thubutu yake, hakuna kitu kama hiyo
Hapo mpwa hilo chimbo ukija siku moja na uhakika kikosi chote cha JJ kitahamia pale uzuri kuna mjengo hapo hapo.
afu ikiwa mpango mzima kimey nimuache na nani???nimekushtukia wewe ni chuma ulete,,meno kama obuntu:teeth: