The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
:amen::amen: Yesu anaweza.
nina baba yangu asiyeshindwa kamwe, nina babu yangu asiye shindwa kamwe x2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
:amen::amen: Yesu anaweza.
:amen::amen: yesu anaweza.
Nimehuzunika sana na kauli yako ewe dena amsi!!!! Sijui nikuweke katika kundi gani kati ya WATOA PUMBA na GREAT THINKERS??!!!!
Ndoa inapovunjika huwa hatujui ni nani mwenye makosa aliyesababisha hata ndoa hiyo kuvunjika. Kutokana na mfumo dume uliotawala katika jamii mara nyingi huwa tunawasingizia wanawake kuwa ndio wenye makosa.
Mimi binafsi ni mtoto wa sita kuzaliwa. Mama yangu aliachika na mumewe wa awali ndio akaolewa tena na kuzaliwa mimi. Vipi kama asingeolewa tena?, ina maana nisingezaliwa mie. Unapotushauri tusioe au tusiolewe na walioachwa sikuelewi.
Ni bora ukafanya uchunguzi kujua ni kwa nini ndoa ilivunjika kisha ndio uamue kumuoa au kuolewa nae huyo alikuwa ndani ya ndoa kuliko kutoa hitimisho kuwa Usikubali kuolewa na mwanaume alieacha mkewe wa ndoa kamwe!!!!!!!!!! au
:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:
Habari zenu wote.
Katika pita pita zangu nimekutana na mambo mengi ambayo yamekuwa yakinishangaza sana. Katika wanaume 25 walioachana na wake zao (niliowafanyia uchunguzi) hawawi na mapenzi tena. Kama kuna msichana humu akikutana na mwanaume kama huyu namshauri akae mbali nae kabisa na uweze kujiuliza maswali yafuatayo:
1. Kwanini aliachana na huyo mkewe??
2. Wewe unakipi kipya hasa ambacho utamfanya asikuache kama huyo mwingine??
3. Kakufuata wewe kwa sababu gani??? (Pesa, uzuri, nk)
4. Alikuwa anatafuta pa kupumzika then ale kona lakini ukambana akashindwa kuchomoka
5. Endeleza na sababu zako nyingine nyingiiiiiiiiiii
NB: Usikubali kuolewa na mwanaume alieacha mkewe wa ndoa kamwe!!!!!!!!!!!!!!!11
nimehuzunika sana na kauli yako ewe dena amsi!!!! Sijui nikuweke katika kundi gani kati ya watoa pumba na great thinkers??!!!!
Ndoa inapovunjika huwa hatujui ni nani mwenye makosa aliyesababisha hata ndoa hiyo kuvunjika. Kutokana na mfumo dume uliotawala katika jamii mara nyingi huwa tunawasingizia wanawake kuwa ndio wenye makosa.
Mimi binafsi ni mtoto wa sita kuzaliwa. Mama yangu aliachika na mumewe wa awali ndio akaolewa tena na kuzaliwa mimi. Vipi kama asingeolewa tena?, ina maana nisingezaliwa mie. Unapotushauri tusioe au tusiolewe na walioachwa sikuelewi.
Ni bora ukafanya uchunguzi kujua ni kwa nini ndoa ilivunjika kisha ndio uamue kumuoa au kuolewa nae huyo alikuwa ndani ya ndoa kuliko kutoa hitimisho kuwa usikubali kuolewa na mwanaume alieacha mkewe wa ndoa kamwe!!!!!!!!!! Au pia usikubali kuoa janajike lililoachika kwa mmewe
mmh shostito apo kuna mawili mama
1.kuna aliyeachana na mkewe kwa sababu za msingi kabisa
2.kuna walioachana na wake zao kwa ugume gume wao....
cha msing siyo kukupuruka ....mkae vkao na umdadis kwakina ndo utajua nin kilimsibu kinyume na hapo imekula kwako
km vile kuna wanawake mashetani...i do blv umesoma boardng skul hasa za wasichana tupu yan kuna bnadamu wengne wana tabia ngumu sana huwez ishi nae ,awez ishi na mtu she z so dfcult so hard ni mbish kwa kila kona yeye yupo kivyake tu na idea zake iki ni kisu lakin anaweza sema i ni sufuria...kuna tabia mbalimbali mpk mnasema mmh uyu atakaye kuwa mume wake atakuwa na tabu....alikadhalika na wanaume the same...ni mbishi tu mwanzo mwsho iz ol abt him thats ol....so km ikitokea umemuoa uyo na badaye ukashndwa nae apo mi ntaelewa....kuna bnadamu wengne si wakuish nao.
Inabidi tukemee tabia ya kushika shika matiti
Ushauri huu anatakiwa apewe josephine mushumbusi
Inabidi tukemee tabia ya kushika shika matiti
:A S 103::A S 103::A S 103::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:
Hahahaha...nimemwachia Teamo bana, hebu cheki naye fasta.
Hivi bado uko naye? Piga chini huyo mtu. Haiwezekani nilikuacha naye wiki mbili tu akayaharibu namna ile. Unajua gharama niliyoingia kuyakarabati mpaka yakarudi katika hali yake ya kawaida?
@ Babu Matiti a.k.a Babu ndulele a.k.a Babu teeneger
We acha tuuuu ukiona wa hivi fanya hivi tu :shut-mouth::shut-mouth:
Ni ngumu maana ameshakuwa mpango mzima,,,babu hebu cheki na Fidel kakupa warning kuhusu ukaguzi