Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Mama mwenye nyumba Dena yupo??
BE ameshapata mtoto??
TF nimekumiss sana mtu wangu...
Je Kimey bado yuko counter ya juu??
WL vipi kipenzi changu unaendeleaje??
Je babu Asprin bado anakagua??
Je na babu DC bado anahukumu watu??
mmmhhhh jamani Fab bado anamwaga maneno??
na mgeni wetu Kipenzi Biringita bado anakujaga maeno haya??

salale kasi kolomayo mmmmhhh nime miss sana home...
 
Hii ya kwenda kulalia nitakununulia nini tena unataka vile sema basi aahhh
 
unanitania ..
haya mama mwenye nyumba niambie kulikoni...
nini kilikuwa kinaendelea wakati sipo??

Hakuna mpya sana kivile ni kama kawaida tu Babu kanikosea heshima leo eti anataka kumpindua BE
 
Hakuna mpya sana kivile ni kama kawaida tu Babu kanikosea heshima leo eti anataka kumpindua BE
Ati nini? unataka kusema babu kaacha kazi ya kukagua na kaangukia mapinduzi halisi sasa??
aaaaaaaahhhhhhhh hii inani tisha sasa
 
Hii ya kwenda kulalia nitakununulia nini tena unataka vile sema basi aahhh

hahahah lol si unajua mwanampotevu aliporudi nyumbani alianza kuuliza maswali kibao..
hahha lol im just trying to catch up lol
 
mwongo huyo alikuwa na wl toka asubuhi saa hizi anajifanya mjanja hana lolote

wambea, wazabizabina, wanafiki utawajua tu, wivuu huoooo hebu niache na afrodenzi wangu tupishe tuachie uwanja hebu huko bana unatubana hadi tunashindwa pumua teremka bana dena unajaza bure gari tuachie mimi na afrodenzi wangu.
 
mama mwenye nyumba dena yupo??
be ameshapata mtoto??
tf nimekumiss sana mtu wangu...
Je kimey bado yuko counter ya juu??
wl vipi kipenzi changu unaendeleaje??
Je babu asprin bado anakagua??
Je na babu dc bado anahukumu watu??
Mmmhhhh jamani fab bado anamwaga maneno??
Na mgeni wetu kipenzi biringita bado anakujaga maeno haya??

Salale kasi kolomayo mmmmhhh nime miss sana home...

hii kwa ajili ya tequilla na long island ice tea
 
wambea, wazabizabina, wanafiki utawajua tu, wivuu huoooo hebu niache na afrodenzi wangu tupishe tuachie uwanja hebu huko bana unatubana hadi tunashindwa pumua teremka bana dena unajaza bure gari tuachie mimi na afrodenzi wangu.

hahahah lol mi nilizani wamebadilika sasa
kumbe mmhhhh..

lakiini we umeshindaje mtu wangu??
mhhhhh nimekumiss kinyama yaani..
halafu ile PM wewe mmmhhhh

sina lakusema wataka kuniua bure
sina la kusema mimi kakaaaaa..
 
hii kwa ajili ya tequilla na long island ice tea

hahahahahha lol umeanza kunichokoza ae hahahah lol

ni me wa miss tu watu wangu so i was just checking if every one has hatches and harness's ready for take off...haha lol
 
hahahah lol mi nilizani wamebadilika sasa
kumbe mmhhhh..

lakiini we umeshindaje mtu wangu??
Mhhhhh nimekumiss kinyama yaani..
Halafu ile pm wewe mmmhhhh

sina lakusema wataka kuniua bure
sina la kusema mimi kakaaaaa.
.

ndio hivyo kusema la ukweli
 
hahahahahha lol umeanza kunichokoza ae hahahah lol

ni me wa miss tu watu wangu so i was just checking if every one has hatches and harness's ready for take off...haha lol

ha ha ha haya banaaa, sijui dena ana hatches na harness's
 
Back
Top Bottom