Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtoa ushauri pia hakutaja majina ya wanawake humu,sijui nini kilichokupelekea kumtaja huyo mama humu?????ndio maana nikakwambia kama unampenda sana print umpelekee...!
hatujambo kabisa mkuu karibu sana ..
Vipi malaika anaendeleaje???
hahhaha lol:kiss::kiss: mmmmmhhhhh :A S-cry😱ppppssss wrong one i mean:A S-rose::A S-rose::A S-rose: hahah lol
@afrodenzi samahani kidogo kaka/dada HIVI WEWE NI HE/SHE?
dada stress unazo ndio maana unakesha humu. topic zako pia zinaonyesha hili. Ila bora wewe unajua namna ya kuzipunguza 😛eace::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth: Tuheshimiane tafadhali "Don't judge the book.........""""
malaika yuko okay kabisa...(sema ndo hivo bado sijamFABricate)
POLE NA BARIDI!
Ni kama kale kalikozaliwa Lugalo kama watoto wangu wote nilizalia hapo
dada stress unazo ndio maana unakesha humu. topic zako pia zinaonyesha hili. Ila bora wewe unajua namna ya kuzipunguza 😛eace:
mmmhhh kwa kweli mie ni dada...
Nasisitiza tuheshimiane katafute wachumba kuleeeeeeeeee wamekushushua yamekushinda!!! Hata kama ninazo wewe zinakuhusu nini. Nasisitiza tuheshimiane na usinifatete tafadhali sana heshima kitu cha bure
afro nakumis sweety niko mlimani na kimey,,,nimeshuka chap kukuomba umuongezee fainest hizo gift hapo juu maana anafanya kazi nzuri sana ya kuscan kila kirusi kinachavamia chatrum,,,wel do it for me babe,,dena ameongeza kasi ya kutoa senks,,,hope umeona.
ok ok!
Ndo maana ''the finest'' anahaha usiku kucha.
Utakaporusha thread ya kutafuta mchumba naomba umkonside the finest.....!the guy is very very fine
dada stress unazo ndio maana unakesha humu. topic zako pia zinaonyesha hili. Ila bora wewe unajua namna ya kuzipunguza 😛eace:
ok ok!
ndo maana ''the finest'' anahaha usiku kucha.
utakaporusha thread ya kutafuta mchumba naomba umkonside the finest.....!the guy is very very FINE
Nimekusoma mama/dada. naomba nikuache RASMI!!! :A S 103:Nasisitiza tuheshimiane katafute wachumba kuleeeeeeeeee wamekushushua yamekushinda!!! Hata kama ninazo wewe zinakuhusu nini. Nasisitiza tuheshimiane na usinifatete tafadhali sana heshima kitu cha bure