my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Waswahili wanasema tembea uone. Aijalishi utaona magorofa au nini wee tembea tu utachokiona ndo iko iko ulitakiwa ukione 😉
Miii katika tembea yangu nimekutana na kitu cha kustajabisha.
Nikiwa chuoni nmebahatka kuishi room moja na wasichana wa mataifa mbali mbali, uarabuni, wasomali, wamarekani, wacanada, wakenya, na wa hindi.
Ila katika wote hao hakuna aliwahi kunuka miguu kama wasichana wa kiarabu na kisomali.
Hawa watu wananuka miguu. Akiwa room unatamani asivue viatu mana akivua tu hali ya hewa inaharibika.
Alaf wenyewe sijui hua hawasikii hii harufu, wanakua hawana habari ata kidogo.
Asa sijui kwanini wananukaga miguu. Kuna siku nilimwabia mmoja wao miguu yako inanuka akazuga ati ata sio yangu ni ya fulani wakat kila mtu anafahamu kama yeye ndo ananuka miguu.
Kwa ufupi wanakuaga sio wachafu ila wananuka sana miguu. Ni vigumu sana kuvumilia kuishi nao room moja...✍️