Khalu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 523
- 567
Kabisa amewaomea, sijui wamemkosea nini.Dunia nzima ukweli huu uwe umeuona wewe tu, umeandika kama fact kuwa ukimuona mwarabu au msomali shurti anuke miguu hiyo sio sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa amewaomea, sijui wamemkosea nini.Dunia nzima ukweli huu uwe umeuona wewe tu, umeandika kama fact kuwa ukimuona mwarabu au msomali shurti anuke miguu hiyo sio sawa
Naomba nikafanye utafiti kwako....Acha ujinga mtoa mada
ShindwaaNaomba nikafanye utafiti kwako....
Heeh..! Nishindwe kwa jina la nani sasa, la YESU au MTUME, SHWETAIN/JINI maana kwa kufuga majini hamjamboShindwaa
KomaaaHeeh..! Nishindwe kwa jina la nani sasa, la YESU au MTUME, SHWETAIN/JINI maana kwa kufuga majini hamjambo
Aah.. wap.. haikua kwel.. dem ni msaf sana yule.. yule alikua anamponda tuu asikie najibujeAlikuwa ananuka kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]??
Aah.. wap.. haikua kwel.. dem ni msaf sana yule.. yule alikua anamponda tuu asikie najibuje
Nadhani mtu anakuwa na shida ya miguu kuna jamaa nafanya nae ofisi moja mara kwa Mara anavaa open shoes ila ananuka miguu sijui Shida ni niniHata wakivaa Open shoes miguu bado unuka?
Dah! Bibie; Labda ungepunguza makali ya Uzi wako e.g. ungelisema au kuuliza: Ni nini sababu ya miguu kunuka? Walao imekaa kipole zaidi i.e. Uzi wako kwa mtazamo wangu naona kama umekuwa ni wa kuwanyanyapaa(Stigmatize ) mno Jamii ulizozitaja. Mbona hata baadhi ya wale Waswahili (Me na Ke) hilo lipo? Why pinpoint Arabs and Somalis?Waswahili wanasema tembea uone. Aijalishi utaona magorofa au nini wee tembea tu utachokiona ndo iko iko ulitakiwa ukione 😉
Miii katika tembea yangu nimekutana na kitu cha kustajabisha. Nikiwa chuoni nmebahatka kuishi room moja na wasichana wa mataifa mbali mbali, uarabuni, wasomali, wamarekani, wacanada, wakenya, na wa hindi. Ila katika wote hao hakuna aliwahi kunuka miguu kama wasichana wa kiarabu na kisomali. Hawa watu wananuka miguu. Akiwa room unatamani asivue viatu mana akivua tu hali ya hewa inaharibika. Alaf wenyewe sijui hua hawasikii hii harufu, wanakua hawana habari ata kidogo.
Asa sijui kwanini wananukaga miguu. Kuna siku nilimwabia mmoja wao miguu yako inanuka akazuga ati ata sio yangu ni ya fulani wakat kila mtu anafahamu kama yeye ndo ananuka miguu. Kwa ufupi wanakuaga sio wachafu ila wananuka sana miguu. Ni vigumu sana kuvumilia kuishi nao room moja...✍️