Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Wafuasi weusi wa mwamedi mmepandwa mori 😝😝Acha ujinga mtoa mada
Hivi hao waarabu huwa ni ndugu zenu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafuasi weusi wa mwamedi mmepandwa mori 😝😝Acha ujinga mtoa mada
Upo sahihi kabisa.Ninajuwa kama nipo sahihi 😉
Hapana, Uarabu na Uzungu ni vitu tofauti, hata Kiswahili. Towa "z"kwenye neno "mzungu" inabaki nini? Halafu jiulize kwanini babu zako wakakurithisha neno hilo/Kwahyo Waarabu Ni Sawa Na wazungu Tu?
Ninajijuwa kuwa nipo sahihi 😉Upo sahihi kabisa.
Kama hapa kuna mkurupukaji basi ni wewe. Hivi kwani ukiachana na ubongo kuna kitu kingine huwa kinatumika kufikiria? Sijui unatumia nini kufikiria lakini nina uhakika 100% hutumii ubongo kwenye kufikiria. Kichwa cha habari kipo sahihi kabisa hakina haja ya kubadlishwaBasi umekurupuka aisee[emoji23][emoji23]. Siyo wote bana, badilisha kichwa habar, uzi ukae poa.
Hakuna kero isiyovumilika kama kunuka miguu. Kila siku utakua mtu wa kuumwa mafua tu 😁Hii sentensi umeirudia sana chief kunuka miguu ni kero mbaya sana ila inayoweza kuvumilika 😝😝
Duh sawa bana[emoji23][emoji23]Kama hapa kuna mkurupukaji basi ni wewe. Hivi kwani ukiachana na ubongo kuna kitu kingine huwa kinatumika kufikiria? Sijui unatumia nini kufikiria lakini nina uhakika 100% hutumii ubongo kwenye kufikiria. Kichwa cha habari kipo sahihi kabisa hakina haja ya kubadlishwa
Ila uzi wako unauprom kinoma hongera mama keep it up[emoji23][emoji23]Kama hapa kuna mkurupukaji basi ni wewe. Hivi kwani ukiachana na ubongo kuna kitu kingine huwa kinatumika kufikiria? Sijui unatumia nini kufikiria lakini nina uhakika 100% hutumii ubongo kwenye kufikiria. Kichwa cha habari kipo sahihi kabisa hakina haja ya kubadlishwa
Kumbe we juhaKwani wee umelala nao wangapi? Tuanzie hapo kwanza
Na wewe acha ku comment ujinga
Umenikumbusha mbal.. kuna kipind nilikua namilik mabint wawil.. chuo kikuu hapo.. sasa m1 alikua main chick mwingne alikua side chick.. sasa side chick alikua pisi kal kwelkwel.. siku main chick alikuja gundua nna uhusiano na side chick.. halaf walikua wanasoma koz moja.. aisee niliishi maisha ya tabu sana baada ya tifu hilo... Main chick alinisamehe though.. ila chamoto nilikiona.. kila nachofanya nakumbushiwa lile tifu kwamba mi mala.la nmecheat... Sasa sku1 ndo akaniacha hoi kabia akanambia et naskia yule dem ananuka k sana... Hahah. Daah.. nkabak kimya tu sina cha kukoment... Maana hapo najib nn.. sasa ndo hyo comment ya wivu imenikumbusha mbal.. hawa watu hawapendanag milele
Waislam Na waarabu bwana...mnawaabudu kichiziHapana, Uarabu na Uzungu ni vitu tofauti, hata Kiswahili. Towa "z"kwenye neno "mzungu" inabaki nini? Halafu jiulize kwanini babu zako wakakurithisha neno hilo/
Halafu jiulize wewe ni mstaarabu au mshenzi? Unafahamu maana ya neno Ustaarabu?
Ukiyajibu maswali hayo utakuwa umeshapata jibu la swali lako.
Naam, tatizo anaeabudu "kichizi" au asiyeabudu? Fikiri kabla hujabwabwaja bila mpango.Waislam Na waarabu bwana...mnawaabudu kichizi
Sawa...ndomaana huko zenji wanawaf*raNaam, tatizo anaeabudu "kichizi" au asiyeabudu? Fikiri kabla hujabwabwaja bila mpango.
Hii hapa "Zenji": He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophileSawa...ndomaana huko zenji wanawaf*ra
Zenji waarabu wanawatanua Marinda tuHii hapa "Zenji": He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile
Umeona mambo hayo? Unafahamu Kingereza? Au isome hii hapa ya Kiswahili: https://www.jamiiforums.com/threads...ni-ya-nyumba-ya-kadinali-wa-vatikano.1289669/
Wafuasi weusi wa mwamedi mmepandwa mori 😝😝
Hivi hao waarabu huwa ni ndugu zenu?
Watu kama wewe ndo mnau promote mana mna comment kila dakika. Sijamtumia mtu kadi ya mualiko aje a comment hapa 😁Ila uzi wako unauprom kinoma hongera mama keep it up[emoji23][emoji23]
Juha lazima amjue juha mwezie. Wewe ndo kiongozi wa majuhaKumbe we juha