modavid
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 705
- 628
Sioni ajabu nazingatia usafi kawaida najua ni asili yangu kutoa jasho miguuni paka mikononi(viganjani)Pole
Uloekege miguu yako kwenye maji vugui yenye chumvi walau Mara mojamoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sioni ajabu nazingatia usafi kawaida najua ni asili yangu kutoa jasho miguuni paka mikononi(viganjani)Pole
Uloekege miguu yako kwenye maji vugui yenye chumvi walau Mara mojamoja
Anhaa, upo sahihi kabisa.Uarabuni ni kule waarabu na wasomali wa Africa mashariki hasa Tanzania huwa wanaenda kuwafulia waarabu wa asili chupi zao na kuwasaidia kazi za ndani.
Uarabuni ni kule waarabu na wasomali wa Africa mashariki hasa Tanzania huwa wanaenda kuwafulia waarabu wa asili chupi zao na kuwasaidia kazi za ndani.
Waislam wakisikia waarabu wanapondewa wanajaa upepo
Ulifikiri hakuna Waarabu wasio Waislam?Waislam wakisikia waarabu wanapondewa wanajaa upepo
Vizuri kwa kuelewa somo 🙃Anhaa, upo sahihi kabisa.
Wewe una uhakika na ulichokiandika?Hasa Tanzania??!!---- una hakika na usemacho au ?!!
Upo sahihi kabisa.Vizuri kwa kuelewa somo 🙃
Nipo sahihi tangu nilivyozaliwa 🙃Upo sahihi kabisa.
Upo sahihi kabisa.Nipo sahihi tangu nilivyozaliwa 🙃
Sijawahi Kutokuwa sahihi 😉Upo sahihi kabisa.
Kwahyo Waarabu Ni Sawa Na wazungu Tu?Ulifikiri hakuna Waarabu wasio Waislam?
Uislam na Ukristo umehusu nini hapa? Mbona ni wadini sana nyinyi?
Uislam ndio njia pekee ya kukufanya uwe muungwana na uishi maisha mema, kama ulikuwa huelewi.
Uislam unatufundisha kuwa mbora kati yetu ni mcha Mungu, sio kabila zetu, rangi zetu wala utajiri au umasikini wetu. Kumbuka hilo.
Unaweza kuwa Muislam lakini hauufati Uislam inasaidia nini?
Weka Huo uzi tutathminishe...maana hapa kwenye Huu uzi umeshawaona kina bibi faizafox walivojaa upepoNa wakristo wakisikia Wazungu wanapondewa wanajaa maji au vipi???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Naendelea kusoma comments za wasomari na waarabu[emoji4]
Upo sahihi kabisa.Sijawahi Kutokuwa sahihi 😉
Ninajuwa kama nipo sahihi 😉Upo sahihi kabisa.
Basi umekurupuka aisee[emoji23][emoji23]. Siyo wote bana, badilisha kichwa habar, uzi ukae poa.Mapema? According to who or according to what mpaka unasema mapema? Alaf Sikumbuki kama kuna sehem nimesema hii ni research [emoji849] btw karibu kwenye account yako nyingine haha
Hii sentensi umeirudia sana chief kunuka miguu ni kero mbaya sana ila inayoweza kuvumilika 😝😝Hawa watu wananuka miguu